Huu ndio ujinga wenyewe saaasaa....ambao hatuutaki....haya ni maelekezoo sio kanuni wala sheria upuuzii Kailima anatumika kama tissue ya chooniii.....ndio maana tunataka reformsMkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu.
View attachment 3300450
Hao chadema wanazijua, kwahiyo kazi kwao washiriki au wasishirikiWanatuonaje hawa wapuuzi?
Hizo kanuni zinaruhusu kuiba kura?
Hili nalo swali zuriKwani CHADEMA ni taasisi au ni chama kilicho ndani ya briefcase ya Lissu?
Ndio maana kiongozi anakuwa na makamu wakeLissu yuko wapi?
Lissu akikubali kusaini,NEC watakwenda Keko?
Au Lissu atapelekwa NEC?
Basi wakae kimya watuache tufanye uchaguzi wetu kwa amaniKwa sababu wao CHADEMA walishasema hawatashiriki sioni kama kuna cha maana watafanya. Msimamo wao unajulikana kuwa hawashiriki
Huyo mshangazi wenu tumesha mchoka, naichukia ccm kama kinyesiMkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu.
View attachment 3300450
Ushauri wa G55 ni wa kuuzingatiaMkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu.
View attachment 3300450
Mkumbuke Nape. Alisema wakiifanya hararmu kisha wakafanikiwa wanarudi kutubu.CCM Inapitia Njia Hata Haram
Uchaguzi upi tena?Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho Aprili 13 hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu.
Akizungumza na Azam TV, Kailima amesema mgombea hatopata nafasi ya kujaza fomu namba 10 wakati wa kuwasilisha fomu za uteuzi kutokana na chama chake kutosaini maadili ya uchaguzi.
View attachment 3300450
Ni lini kuliwahi kuwa na uchaguzi?Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema kwa mujibu wa kanuni Chama kisichosaini kanuni za maadili hakitashiriki uchaguzi.
“Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu…” - Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima akizungumza katika mahojiano maalum kwenye kipindi cha
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Chama kisichosaini hakitapata fursa ya kusimamisha uchaguzi.
Unadhani anasaini mtu yeyote eti?Chadema kinyemela wapeleke mtu kusaini Kwa niaba alafu wajidai kushangaa nani kasaini na hawamtambui maana hawakumtumaa? Kisha waendelee kuisumbua inec huku kushasainiwa kinyemela🤣
Maadili gani kwa jeshi la polisi na walimu pamoja na wakurugenzi kushiriki kwenye wizi wa kura? Maadili gani haya upuuzi mtupu!Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema kwa mujibu wa kanuni Chama kisichosaini kanuni za maadili hakitashiriki uchaguzi.
“Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu…” - Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima akizungumza katika mahojiano maalum kwenye kipindi cha
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Chama kisichosaini hakitapata fursa ya kusimamisha uchaguzi.