Inflation & Unemployment: Mfumuko wa Bei na Ukosefu wa Ajira.Tanzania Wapi tunaelekea?

Inflation & Unemployment: Mfumuko wa Bei na Ukosefu wa Ajira.Tanzania Wapi tunaelekea?

Utangulizi:

Wabobezi wengi wa uchumi Duniani wanakubaliana adui namba Moja kwenye Uchumi ni Inflation & Unemployment,hakuna uchumi wowote Duniani unaokoa bila kuzalisha ajira Kwa wananchi wake,

Tanzania ni nchi yenye watu Estd.63 Million sensa ya mwaka 2022 kati ya hao 70% wako chini ya Umri wa miaka 30, 50% ni umri zaidi ya miaka 18,
Uchumi(GDP) wetu umekadiliwa kujua Kwa 5.2% 2023 na 6% mpka 2025,(WB).

Upo wimbo wa Wanasiasa na viongozi wetu kuwa uchumi wetu unakuja na tuko Vizuri,lakini hali ya kushangaza ni UCHUMI GANI UNAKUA BILA KUZALISHA AJIRA ZA KUTOSHA( Both Public& private sector).

Youth Unemployment (Ukosefu wa ajira Kwa Vijana Tanzania sio jambo tena lakupima Kwa Microscopic maabara/ hali Iko wazi si vijana wenye elimu,ujuzi na wasio na ujuzi/Vibarua, Yani hata kazi za kusukuma mkoteni mijini kubeba bizaa ni flooded,
Jambo kubwa la kushangaza ni Viongozi wetu Vocabulary ya Youth unemployment ni haipo midomoni mwao,

Tujifunje juu ya Arab Spring vs Youth unemployment,
Ni kweli Serikali haiwezi ajiri watu wote ila Ina wajibu kufanya mazingira wezeshe Kwa watu kuajiari, Leo Vijana wengi si Dar mikoani pia wamejiingiza kwenye Immoral way to survive Madada Poa mpka makaka poa it's shameful and painful ,japo si unagani na immoral ways katika utafutaji maisha ila ukweli ni matokeo ya Ukosefu wa njia sahihi vijana kuendeleza maisha,

Vijana wana angamia,Wengi wameingia matumizi ya pombe, za miatano za kichina natamani hata hizi pombe kama Coffee,shingwaaa n.k zipigwe marufuku zinau nguvu kazi za vijana,

Vijana wanaishi in Phrase, of life show no more deal any more,
Ikitangazwa nafasi ya kazi 10,vijana shortlisted 5000?,

They is no more hope and bright future Kwa Vijana na Kila kukicha wanatoka mavyuoni kuja mitaani,

Mama SSH Mempendwa, tunakuomba uje na Emergency Plan to Rescue youth Unemployment, japo tunajua si kitu Overnight process,ila inawezekana,

Suggestions 💡, Tuangalie Sectors za manufacturing & Service and value addition(Agriculture) ambazo zitakuwa Capital intensive kuokoa hili janga,

Na ushauri pia, Si lazima miradi ya JPM uibebe yote ikamilike jaribu kwenda Kwa awamu Ili kupunguza pesa nyingi kwenda huko Tena pesa mikopo, kulazimisha SGR kukamilika phase zote nikulazimika kukopa zaidi, hizi Super Mega project usipo kuwa na step Kwa kuogopa kusemwa Miradi imemshinda utawabesha watanzania Mizigo mikubwa ya madeni na the matter of fact miradi mingi Super project haikukwa na Feasibility Study, it's knows of unknown.

Nawakilisha wadau;
NB: This is author opinion, Not political affiliation opinion.
Jadili ukiwa objective sio Kwa mahaba ya Siasa tusifanye Siasa Kwa maisha ya watu.

Watching closely 👍🏾
 
Usipoenda shule ukawa mpumbavu utakabiliana vipi na mazingira? Utapata wapi teknolojia nk?

Punguza ujinga wewe nyumbu wa Chadema
Kumbe we bwege kiasi hiki? Kwamba ukiwapeleka watoto wako shule baaasi unaweka makalio chini sio? Kuna mengi zaidi ya hiyo elimu, uzazi wa mpango ni muhimu sana kwa nchi ambazo hazina uchumi imara. Unazalisha graduates 60k+ kila mwaka, unaajiri hata 1k haifiki na bado upo bize kutuletea machokoraa mtaani. Jinger wewe!!
 
Wewe ni mbumbumbu hujui kitu
 
Wewe ni mpumbavu na umekariri upumbavu.

Nioneshe ushahidi wa Kiuchumi unaoonesha high population growth inatatiza maendeleo.
Unajua wewe una ujuaji wa kijinga na Wala hujui, Optimum population, balanced population, overpopulation, ungekuwaa unajua hivi usinge comment gabbage,
 
Hakuna mahala popote ambako kiuchumi idadi ya watu imeleta hasara badala yake idadi ndogo ya kuzaana ndio inaleta hasara ndio maana China,Germany,Korea etc wanawalilia wanawake na kuwapa incentives wazae.
Unafikiri Deng Xiaoping alikuwa mpumbavu kuamrisha one child policy..

You know nothing about economics you fool
 
Unajua wewe una ujuaji wa kijinga na Wala hujui, Optimum population, balanced population, overpopulation, ulikuwa hivi usinge comment gabbage,
Narudia tena kukwambia wewe ni miongoni mwa wapumbavu waliokariri.

Nioneshe ushahidi wa Kiuchumi unaothibitisha Watu wengi hutatiza uchumi
 
Unafikiri Deng Xiaoping alikuwa mpumbavu kuamrisha one child policy..

You know nothing about economics you fool
Yes alikuwa mpumbavu ndio maana Leo hii wanakuta na ndio maana hakuna Nchi imeiga huo upumbavu
 
Usipoenda shule ukawa mpumbavu utakabiliana vipi na mazingira? Utapata wapi teknolojia nk?

Punguza ujinga wewe nyumbu wa Chadema
we m baba hivi kweli na wewe huna akili? Aisee maisha haya nashindwa kuamini kama huna akili baada ya kujadil hoja umeleta mambo ya uchadema kwahy hao chadema wana..... Yaan mtu yupotayar kupambana na ukweli kisa maslai ya chama chake
 
Narudia tena kukwambia wewe ni miongoni mwa wapumbavu waliokariri.

Nioneshe ushahidi wa Kiuchumi unaothibitisha Watu wengi hutatiza uchumi
Una matatizo ya akili wewe, Overpopulation means, Population is great than Resources. Ni me prove tayari, huna hoja,hauko objective so sita poteza muda kujibu uupuuzi wako #Caseclosed, Time Will tell,
 
Uchumi unadidimia, Inasikitisha sana Mkuu.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
we m baba hivi kweli na wewe huna akili? Aisee maisha haya nashindwa kuamini kama huna akili baada ya kujadil hoja umeleta mambo ya uchadema kwahy hao chadema wana..... Yaan mtu yupotayar kupambana na ukweli kisa maslai ya chama chake
Wewe nyumbu ni mpumbavu hakuna unachojua na huyo unaemtetea.Mimi namfahamu ni nyumbu wa Chadema Sasa wewe na kihelehele chako umejibu hoja ipi?

Acha shobo we mbumbumbu
 
Back
Top Bottom