Inflation & Unemployment: Mfumuko wa Bei na Ukosefu wa Ajira.Tanzania Wapi tunaelekea?

Hakuna mahala popote ambako kiuchumi idadi ya watu imeleta hasara badala yake idadi ndogo ya kuzaana ndio inaleta hasara ndio maana China,Germany,Korea etc wanawalilia wanawake na kuwapa incentives wazae.
Watu wako ulionao umeshindwa kuwatumia vilivyo wanalia umasikini, unataka kuongeza watu?

Wewe unazilinganisha China, Germany, Korea na Tanzania?
 
Wapi ambako watu Wameshindwa kutumika? Lini umewahi sikia Tanzania imezidiwa na idadi ya watu?

Natolea mifano Kwa nyie mliokariri ndio nawapa mifano ya hizo Nchi ambazo nazo zilikariri maandishi kama nyie.
 
Natoa kwenye matraako ya baba Yako.Ripoti ipi nimewahi kukwambia kwamba Tanzania inahitaji kupunguza watu?
Wakati Rais wako anasema mpunguze kuzaliana hovyo alikuwa anaongea na wajapan ?

Nakuuliza unemployment rate ya nchi yako ngapi ? Jibu swali wewe mpuuzi
 
Una matatizo ya akili wewe, Overpopulation means, Population is great than Resources. Ni me prove tayari, huna hoja,hauko objective so sita poteza muda kujibu uupuuzi wako #Caseclosed, Time Will tell,
Hao watu wengine wanachanganya uchumi na imani za kidini.

Wameambiwa zaeni mkaongezeke muijaze dunia na vitabu vyao vya dini, ukiwaambia kuzaana bila mpango ni tatizo kiuchumi - a truism- wanaona ume attack dini yao, halafu hawawezi kutenganisha imani ya kidini na uchumi.

Ukishindwa kuelewa kuwa kuzaa bila mpango ni tatizo kiuchumi, huelewi uchumi ni nini.
 
Wakati Rais wako anasema mpunguze kuzaliana hovyo alikuwa anaongea na wajapan ?

Nakuuliza unemployment rate ya nchi yako ngapi ? Jibu swali wewe mpuuzi
Ana mawazo ya kukariri kama wewe.Lakini Kuna Rais mwingine alisema ongezeni Kasi ya kuzaana.

Narudia kukwambia wewe mbumbumbu kwamba hakuna literature ambayo imethibitisha kwamba population growth Inapunguza maendeleo.
 
Wapi ambako watu Wameshindwa kutumika? Lini umewahi sikia Tanzania imezidiwa na idadi ya watu?

Natolea mifano Kwa nyie mliokariri ndio nawapa mifano ya hizo Nchi ambazo nazo zilikariri maandishi kama nyie.
Wewe mtu unayeishi kwenye nchi ya watu wanaotumia jembe la mkono na kilimo cha kutegemea mvua, wanaosumbuliwa na kipindupindu mpaka leo, maana yake wanakula mavi yao bado, wanaotumia nishati ya kukata miti ili kupata kuni na mkaa mpaka leo, mpaka mijini, katika dunia hii ya teknolojia ya nuclear na CRISPR, unajiona shida yako ya kupata maendeleo ni kuongeza watu?

Wakati hao waliopo tu umeshindwa kuwapa maisha hata ya GDP per capita ya $2,000 kwa mwaka tu?
 
Huyo alikuwa mwendawazimu asiye jua chochote kuhusu uchumi na ndio maana ali haribu mambo mengi ya kiuchumi kwa sifa za kifala kwa mambumbu kama wewe.

Unemployment rate inapo ongezeka kwa kasi inakuza vipi huo uchumi unao uzungumzia hapa ?

Machawa inabidi muwe mnapigwa msasa kwanza kabla ya kuja kutapika uozo humu. Jinga
 
Ndio Hawa Hawa kesho,watakuwa selected ,U RC,DC ,DED mara Mbunge lakini wanabeba chama za ya nchi, uchawa ni janga linafanya vijana kuwa mindless obedience,wajinga,wapuuzi,marofa na akili za kushikiwa.
 
Ni kama tuu wewe ambae hakuna unachojua ndio maana huwezi weka ushahidi wa maswali nayokuuliza hapa.
 
Ndio Hawa Hawa kesho,watakuwa selected ,U RC,DC ,DED mara Mbunge lakini wanabeba chama za ya nchi, uchawa ni janga linafanya vijana kuwa mindless obedience,wajinga,wapuuzi,marofa na akili za kushikiwa.
Haya makunguni ni majinga sana
 
Wewe mtu unayeishi kwenye nchi ya watu wanaotumia jembe la mkono na kilimo cha kutegemea mvua, wanaosumbuliwa na kipindupindu mpaka leo, maana yake wanakula mavi yao bado, wanaotumia nishati ya kukata miti ili kupata kuni na mkaa mpaka leo, mpaka mijini, katika dunia hii ya teknolojia ya nuclear na CRISPR, unajiona shida yako ya kupata maendeleo ni kuongeza watu?

Wakati hao waliopo tu umeshindwa kuwapa maisha hata ya GDP per capita ya $2,000 kwa mwaka tu?
Kuna Nchi zinazoitwa zimeendelea lakini zinasumbuliwa na chawa na kunguni.

Kutumia jembe la mkono or anything like that Haina uhusiano na watu wengi kutatiza maendeleo.

Jikite kwenye hoja acha vioja
 
Kingine, kasi ya kuzaliana inabidi ipungue.

Watu wengi masikini wasio na kazi wanapozaliana sana, hata ukiongeza ajira kwa kizazi hiki, baada ya miaka michache tatizo litarudi pale pale kwa sababu watu wanazaana bila mpango.
wew kuzaliana hapo Haha uko polini mzigua akisha vuna mahindi na miogo anacho waza niku ongeza watoto na mke

Andrew tate once said if you are poor and you are a tanzanian its okay nazan alisha chunguza
 
Kuna Nchi zinazoitwa zimeendelea lakini zinasumbuliwa na chawa na kunguni.

Kutumia jembe la mkono or anything like that Haina uhusiano na watu wengi kutatiza maendeleo.

Jikite kwenye hoja acha vioja
Hoja ukiiona utaijua?

Una watu 10. Hujajipanga kutumia nguvukazi zao. Wengi ni tegemezi. Hawachangii kwenye uchumi. Hata wenye ajira wengi ni wa "disguised unemployment".

Unaona utatuzi wa tatizo hilo ni kuongeza watu wawe 15, hata kabla wale 10 waliokushinda kuwapa kazi hujaweza kuwatumia vizuri?

Soma historia ya Tanzania katika Paul Bjerk's "Building a Peaceful Nation : Julius Nyerere and the Establishment of Sovereignty in Tanzania 1961- 1964".

Professor Bjerk anaeleza kuwa tangu mwanzo serikali ya Nyerere ilijitahidi sana kufanya mipango ya maendeleo, lakini, tatizo moja kubwa lililojitokeza ni kuwa mipango hiyo ya maendeleo, hata ilipofanikishwa, ilizidiwa na kasi ya watu kuzaliana, kiasi kwamba, serikali ilikuwa kama inakimbia ili kubaki palepale ilipokuwa. Maendeleo yote yanafunikwa na ongezeko la watu kiasi kwamba mara nyingine ikaonekana kama serikali haijafanya kitu.

Hujajua hiyo historia, kwa sababu unafanya ubishi bila kusoma.
 
wew kuzaliana hapo Haha uko polini mzigua akisha vuna mahindi na miogo anacho waza niku ongeza watoto na mke

Andrew tate once said if you are poor and you are a tanzanian its okay nazan alisha chunguza
A million flies eat shit, they can't be wrong.
 
Leta hapa literature inayosema population growth inazuia maendelea
Sasa mnapokuwa na population inayo ongezeka hovyo huku watu wengi wasiofanya kazi.

Hawazalishi kwa uwezo mkubwa zaidi ya uchuuzi na wala hakuna bidhaa nyingi zinazo zalishwa huo uchumi utapitia wapi positive growth ?

Kadiri population inavyo ongezeka hovyo Tz ndivyo unemployment rate ya Tz inaongezeka.

Vijana wanazidi kuwa majobless kutwa kushindia mihogo, maandazi ya bakhresa na energy drink.

Hawa watu wa hivi wanakuza vipi uchumi zaidi ya kuongeza umasikini.

Dogo fala sana acha kupalilia umasikini kwa Watanzania wenzako kwa kuwa chawa wa maviongozi washenzi.
 
Sasa mnapokuwa na population inayo ongezeka hovyo huku watu wengi wasiofanya kazi.

Hawazalishi kwa uwezo mkubwa zaidi ya uchuuzi na wala hakuna bidhaa nyingi zinazo zalishwa huo uchumi utapitia wapi positive growth ?

Kadiri population unavyo ongezeka hovyo Tz ndivyo unemployment rate ya Tz inaongezeka.

Vijana wanazidi kuwa majobless kutwa kushinda mihogo, maandazi ya bakhresa na energy drink.

Hawa watu wa hivi wanakuza vipi uchumi zaidi ya kuongeza umasikini.

Dogo fala sana acha kupalilia umasikini kwa Watanzania wenzako kwa kuwa chawa wa maviongozi washenzi.
Umewahi ona kwenye literature yeyote inasema Tanzania Ina high unemployment au Mass unemployment? Swali la kwanza hujajibu na Hilo nipe jibu

Harafu unapotaja terminologies za Uchumi uwe unaelewa maana yake seems mnakurupuka hamuelewi mnachoongea.They are tricky
 
Leta hapa asilimia za unemployment rate ya nchi yako ? Mpaka sasa ujaleta unabwabwaja tu
 
Wapi ambako watu Wameshindwa kutumika? Lini umewahi sikia Tanzania imezidiwa na idadi ya watu?

Natolea mifano Kwa nyie mliokariri ndio nawapa mifano ya hizo Nchi ambazo nazo zilikariri maandishi kama nyie.
Watu ndio Walaji (wakiwa hawana buying power hawawezi kununua, unaweza kusema wakalime, ila kumbuka hata kilomo ni gharama, pembejeo, ardhi n.k.)

Watu ni Wazalishaji (kama wakizalisha hakuna watu wenye ujira wa kuweza kununua hivyo utaona kwamba hawatapata motive ya kuzalisha au watazalisha kwa mikopo na kudumbukia kwenye madeni); Na je hao wao wana required skills za kuweza kuzalisha kinachohitajika kwa wakati huo..., mfano India na Umasikini wao kutokana na kwamba wapo vizuri kwenye IT and some technical know how wanaweza wakalisha ulimwengu kwa hio commodity wanayozalisha (sasa je wewe unaweza ku-export uzalishaji wako na je unapendwa ? Iwe movies which is good au hata utapeli kama Nigeria which is detrimental au Beach Boys kule Gambia wanatoa huduma ya Good times kwa Vikongwe)

Kwahio utaona kwamba kunatakiwa kuwepo na watu wanaotosha kulingana na mahitaji na uzalishaji (an optimum productive population) hata kama mkiwa wengi kwenye nchi yenu ndogo mnaweza mkawa mnachokizalisha kinatakiwa na ulimwengu mzima au vice versa (hakitakiwi hata kwenye nchi yenu)

And since dunia ni moja wala haifanyi expansion yoyote.., its not feasible kuendelea na exponential growth to infinity ni kwamba nature will take it's cause kuwapunguza watu (iwe njaa, vita, magonjwa au kuwekeana sheria za matumizi ya resources..,) ingekuwa zamani watoto hata ukiwa nao hamsini unapata walima mashamba hamsini sasa hivi hilo shamba hauna na unahitaji kutoboa mfuko kulisha hivyo vinywa hamsini)
 
Back
Top Bottom