Watu ndio Walaji (wakiwa hawana buying power hawawezi kununua, unaweza kusema wakalime, ila kumbuka hata kilomo ni gharama, pembejeo, ardhi n.k.)
Watu ni Wazalishaji (kama wakizalisha hakuna watu wenye ujira wa kuweza kununua hivyo utaona kwamba hawatapata motive ya kuzalisha au watazalisha kwa mikopo na kudumbukia kwenye madeni); Na je hao wao wana required skills za kuweza kuzalisha kinachohitajika kwa wakati huo..., mfano India na Umasikini wao kutokana na kwamba wapo vizuri kwenye IT wanaweza wakalisha ulimwengu kwa hio commodity (sasa je wewe unaweza ku-export uzalishaji wako na je unapendwa ? Iwe movies which is good au hata utapeli kama Nigeria which is detrimental au Beach Boys kule Gambia wanatoa huduma ya Good times kwa Vikongwe)
Kwahio utaona kwamba kunatakiwa kuwepo na watu wanaotosha kulingana na mahitaji na uzalishaji (an optimum productive population) hata kama mkiwa wengi kwenye nchi yenu ndogo mnaweza mkawa mnachokizalisha kinatakiwa na ulimwengu mzima au vice versa (hakitakiwi hata kwenye nchi yenu)
And since dunia ni moja wala haifanyi expansion yoyote.., its not feasible kuendelea na exponential growth to infinity ni kwamba nature will take it's cause kuwapunguza watu (iwe njaa, vita magonjwa ya kuwekeana sheria za matumizi ya resources.., jambo ambalo linatokea naturally ingekuwa zamani watoto hata ukiwa nao hamsini unapata walima mashamba hamsini sasa hivi hilo shamba hauna unahitaji kutoboa mfuko kulisha hivyo vinywa hamsini)