Watu wako ulionao umeshindwa kuwatumia vilivyo wanalia umasikini, unataka kuongeza watu?Hakuna mahala popote ambako kiuchumi idadi ya watu imeleta hasara badala yake idadi ndogo ya kuzaana ndio inaleta hasara ndio maana China,Germany,Korea etc wanawalilia wanawake na kuwapa incentives wazae.
Wapi ambako watu Wameshindwa kutumika? Lini umewahi sikia Tanzania imezidiwa na idadi ya watu?Watu wako ulionao umeshindwa kuwatumia vilivyo wanalia umasikini, unataka kuongeza watu?
Wewe unazilinganisha China, Germany, Korea na Tanzania?
Wakati Rais wako anasema mpunguze kuzaliana hovyo alikuwa anaongea na wajapan ?Natoa kwenye matraako ya baba Yako.Ripoti ipi nimewahi kukwambia kwamba Tanzania inahitaji kupunguza watu?
Hao watu wengine wanachanganya uchumi na imani za kidini.Una matatizo ya akili wewe, Overpopulation means, Population is great than Resources. Ni me prove tayari, huna hoja,hauko objective so sita poteza muda kujibu uupuuzi wako #Caseclosed, Time Will tell,
Ana mawazo ya kukariri kama wewe.Lakini Kuna Rais mwingine alisema ongezeni Kasi ya kuzaana.Wakati Rais wako anasema mpunguze kuzaliana hovyo alikuwa anaongea na wajapan ?
Nakuuliza unemployment rate ya nchi yako ngapi ? Jibu swali wewe mpuuzi
Wewe mtu unayeishi kwenye nchi ya watu wanaotumia jembe la mkono na kilimo cha kutegemea mvua, wanaosumbuliwa na kipindupindu mpaka leo, maana yake wanakula mavi yao bado, wanaotumia nishati ya kukata miti ili kupata kuni na mkaa mpaka leo, mpaka mijini, katika dunia hii ya teknolojia ya nuclear na CRISPR, unajiona shida yako ya kupata maendeleo ni kuongeza watu?Wapi ambako watu Wameshindwa kutumika? Lini umewahi sikia Tanzania imezidiwa na idadi ya watu?
Natolea mifano Kwa nyie mliokariri ndio nawapa mifano ya hizo Nchi ambazo nazo zilikariri maandishi kama nyie.
Huyo alikuwa mwendawazimu asiye jua chochote kuhusu uchumi na ndio maana ali haribu mambo mengi ya kiuchumi kwa sifa za kifala kwa mambumbu kama wewe.Ana mawazo ya kukariri kama wewe.Lakini Kuna Rais mwingine alisema ongezeni Kasi ya kuzaana.
Narudia kukwambia wewe mbumbumbu kwamba hakuna literature ambayo imethibitisha kwamba population growth Inapunguza maendeleo.
Ndio Hawa Hawa kesho,watakuwa selected ,U RC,DC ,DED mara Mbunge lakini wanabeba chama za ya nchi, uchawa ni janga linafanya vijana kuwa mindless obedience,wajinga,wapuuzi,marofa na akili za kushikiwa.Huyo alikuwa mwendawazimu asiye jua chochote kuhusu uchumi na ndio maana ali haribu mambo mengi ya kiuchumi kwa sifa za kifala kwa mambumbu kama wewe.
Unemployment rate inapo ongezeka kwa kasi inakuza vipi huo uchumi unao uzungumzia hapa ?
Machawa inabidi muwe mnapigwa msasa kwanza kabla ya kuja kutapika uozo humu. Jinga
Ni kama tuu wewe ambae hakuna unachojua ndio maana huwezi weka ushahidi wa maswali nayokuuliza hapa.Huyo alikuwa mwendawazimu asiye jua chochote kuhusu uchumi na ndio maana ali haribu mambo mengi ya kiuchumi kwa sifa za kifala kwa mambumbu kama wewe.
Unemployment rate inapo ongezeka kwa kasi inakuza vipi huo uchumi unao uzungumzia hapa ?
Machawa inabidi muwe mnapigwa msasa kwanza kabla ya kuja kutapika uozo humu. Jinga
Swali gani ulilo uliza wewe mpuuzi zaidi ya kutapiga ugoro tu humuNi kama tuu wewe ambae hakuna unachojua ndio maana huwezi weka ushahidi wa maswali nayokuuliza hapa.
Haya makunguni ni majinga sanaNdio Hawa Hawa kesho,watakuwa selected ,U RC,DC ,DED mara Mbunge lakini wanabeba chama za ya nchi, uchawa ni janga linafanya vijana kuwa mindless obedience,wajinga,wapuuzi,marofa na akili za kushikiwa.
Kuna Nchi zinazoitwa zimeendelea lakini zinasumbuliwa na chawa na kunguni.Wewe mtu unayeishi kwenye nchi ya watu wanaotumia jembe la mkono na kilimo cha kutegemea mvua, wanaosumbuliwa na kipindupindu mpaka leo, maana yake wanakula mavi yao bado, wanaotumia nishati ya kukata miti ili kupata kuni na mkaa mpaka leo, mpaka mijini, katika dunia hii ya teknolojia ya nuclear na CRISPR, unajiona shida yako ya kupata maendeleo ni kuongeza watu?
Wakati hao waliopo tu umeshindwa kuwapa maisha hata ya GDP per capita ya $2,000 kwa mwaka tu?
Leta hapa literature inayosema population growth inazuia maendeleaSwali gani ulilo uliza wewe mpuuzi zaidi ya kutapiga ugoro tu humu
wew kuzaliana hapo Haha uko polini mzigua akisha vuna mahindi na miogo anacho waza niku ongeza watoto na mkeKingine, kasi ya kuzaliana inabidi ipungue.
Watu wengi masikini wasio na kazi wanapozaliana sana, hata ukiongeza ajira kwa kizazi hiki, baada ya miaka michache tatizo litarudi pale pale kwa sababu watu wanazaana bila mpango.
Hoja ukiiona utaijua?Kuna Nchi zinazoitwa zimeendelea lakini zinasumbuliwa na chawa na kunguni.
Kutumia jembe la mkono or anything like that Haina uhusiano na watu wengi kutatiza maendeleo.
Jikite kwenye hoja acha vioja
A million flies eat shit, they can't be wrong.wew kuzaliana hapo Haha uko polini mzigua akisha vuna mahindi na miogo anacho waza niku ongeza watoto na mke
Andrew tate once said if you are poor and you are a tanzanian its okay nazan alisha chunguza
Sasa mnapokuwa na population inayo ongezeka hovyo huku watu wengi wasiofanya kazi.Leta hapa literature inayosema population growth inazuia maendelea
Umewahi ona kwenye literature yeyote inasema Tanzania Ina high unemployment au Mass unemployment? Swali la kwanza hujajibu na Hilo nipe jibuSasa mnapokuwa na population inayo ongezeka hovyo huku watu wengi wasiofanya kazi.
Hawazalishi kwa uwezo mkubwa zaidi ya uchuuzi na wala hakuna bidhaa nyingi zinazo zalishwa huo uchumi utapitia wapi positive growth ?
Kadiri population unavyo ongezeka hovyo Tz ndivyo unemployment rate ya Tz inaongezeka.
Vijana wanazidi kuwa majobless kutwa kushinda mihogo, maandazi ya bakhresa na energy drink.
Hawa watu wa hivi wanakuza vipi uchumi zaidi ya kuongeza umasikini.
Dogo fala sana acha kupalilia umasikini kwa Watanzania wenzako kwa kuwa chawa wa maviongozi washenzi.
Leta hapa asilimia za unemployment rate ya nchi yako ? Mpaka sasa ujaleta unabwabwaja tuUmewahi ona kwenye literature yeyote inasema Tanzania Ina high unemployment au Mass unemployment? Swali la kwanza hujajibu na Hilo nipe jibu
Harafu unapotaja terminologies za Uchumi uwe unaelewa maana yake seems mnakurupuka hamuelewi mnachoongea.They are tricky
Watu ndio Walaji (wakiwa hawana buying power hawawezi kununua, unaweza kusema wakalime, ila kumbuka hata kilomo ni gharama, pembejeo, ardhi n.k.)Wapi ambako watu Wameshindwa kutumika? Lini umewahi sikia Tanzania imezidiwa na idadi ya watu?
Natolea mifano Kwa nyie mliokariri ndio nawapa mifano ya hizo Nchi ambazo nazo zilikariri maandishi kama nyie.