Inflation & Unemployment: Mfumuko wa Bei na Ukosefu wa Ajira.Tanzania Wapi tunaelekea?

Lini Tanzania ilikosa walaji? Usiwe mjinga wa kukariri vitu usivhovielewa.
 
Lini Tanzania ilikosa walaji? Usiwe mjinga wa kukariri vitu usivhovielewa.
Unaweza kula bila Ujira ?!!!; Au unadhani ni nini kinasukuma Uchumi huu wa Kibepari kama sio consumerism ?

Unadhani wabongo wapo allergic na korosho ? Kama wanazipenda inakuwaje zinakosa Soko..., Au unadhani Watu hawapendi kushangaa Simba huko Serengeti huku wanakula nyama ya Swala ? Kama wanapenda inakuwaje tunahangaika kutafuta macho kutoka ughaibuni ?
 
Lini Tanzania ilikosa walaji? Usiwe mjinga wa kukariri vitu usivhovielewa.
Wewe mjinga unaishi Tanzania hiihii au upo nje ?. Hivi unajua hata vitu wanavyo shindia vijana majobless mtaani

Wanahuzunisha kwa kweli halafu wewe humu unatema shit CCM kweli ni janga la taifa
 
Tanzania nani hana Ujira? Lazima Kila mtu aajiriwe kulipwa Ujira?
Ajira zenye ujira wa kutosha zipo ? Na hapo sijaongelea disposable income.., sababu kabla mtu hajashiba hawezi kuwaza kuanza kununua luxuries... Au unadhani kwanini kuna watu vijijini wanauza kuku alafu wenyewe wanakula chakula bila mboga....
 
Dogo ni mama Yako.Lazima Kila mtu aajiriwe kulipwa Ujira?
Hivi unajua jukumu no.1 la serikali katika ajira ni nini ?

Hivi CCM hii mitahira yenu mnayotuma humu hata shule imeenda kweli au mmeigeuza mindondocha yenu ?
 
Hivi unajua jukumu no.1 la serikali katika ajira ni nini ?

Hivi CCM hii mitahira yenu mnayotuma humu hata shule imeenda kweli au mmeigeuza mindondocha yenu ?
Kunywa maji uandike vizuri we kima mbona unatoa povu?

Jukumu namba 1 katika Ajira? 😁😁
 
Kunywa maji uandike vizuri we kima mbona unatoa povu?

Jukumu namba 1 katika Ajira? 😁😁
Wewe ni mpumbavu unajichekesha chekesha kama malaya hapa.

Unafikiri nimekuja kukua tekenya hapa pumbavu

Siku nyingine waambie hao wapumbavu wako wanao kutumia wakupe na akili
 
Wewe ni mpumbavu unajichekesha chekesha kama malaya hapa.

Unafikiri nimekuja kukua tekenya hapa pumbavu

Siku nyingine waambie hao wapumbavu wako wanao kutumia wakupe na akili
huna hoja we kima ndio maana unapanic , usilazimishe upumbavu wako
 
Wewe ni mpumbavu unajichekesha chekesha kama malaya hapa.

Unafikiri nimekuja kukua tekenya hapa pumbavu

Siku nyingine waambie hao wapumbavu wako wanao kutumia wakupe na akili
Wana tuma kiwiliwili, kichwa wanabaki nacho,huyu msukule hajielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…