Mateja M.G Yango
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 613
- 1,093
Umeshaambiwa Kitwanga ni founder, ila kwa sasa sio Director, hivyo kibiashara anasubili gawio la faida mwisho wa mwaka.Kitwanga ndio anajaribu kujisafisha. Haya bana hata Yusuph manji hausiki kabisa na quality group kwa sasa. Hiyo infosy ni Mali ya kitwa ga
It's a channelKitaeleweka tu, mmefanya chini ya wamarekani ambao nao walikua wakifanya kazi chini ya lugumi, bado kidogo tutapata ukweli
nlijua tu wanataka kukifanya kile walicho fanya kipindi kileee cha kashifa ya ESCROW, hasa kwa wivu, na wakawatumia wabunge kuiyumbisha serikal, bt nw hawawezi, wameshindwa kwa wabunge maana hata wa upinzani sasa hivi wanaona aibu wataanza vipi? ila ukwel ndo huo umesemwa watafute lugha nyingineHaya sasa ukweli umewekwa wazi kumbe ni juhudi za kumpiga vita Waziri Kitwanga na kutaka kuichafua serikali ya Magufuli.
Wapiga dili tafuteni kiki nyingine ukweli ndio huu.
Katika hali ya kawaida tu wewe ulitegemea wangekubali kuwa walihusika kwenye Mkataba wa Lugumi ???????Kampuni ya INFOSYS IPS (T) LTD imekanusha taarifa zinazoenezwa katika mitandao ya kijamii kwamba kampuni hiyo inahusika na inashirikirikiana na Lugumi Enterprises katika kashfa ya ubadhirifu.
Katika habari zilizosambaaa inasemekana kwamba kampuni ya Infosys ilipokea mabilioni ya shilingi kutoka katika kampuni ya Lugumi, jambo ambalo wao wanadai si la kweli na ni la kupuuzwa na umma.
'Hatujawahi kufanya biashara na kampuni ya Lugumi Enterprises' Amesisitiza Bwana Sweki Donald, Naibu Meneja Mkuu Infosys IPS (T) LTD.
Video:
Mkuu Infomer asante kwa hii.Kampuni ya INFOSYS IPS (T) LTD imekanusha taarifa zinazoenezwa katika mitandao ya kijamii kwamba kampuni hiyo inahusika na inashirikirikiana na Lugumi Enterprises katika kashfa ya ubadhirifu.
Katika habari zilizosambaaa inasemekana kwamba kampuni ya Infosys ilipokea mabilioni ya shilingi kutoka katika kampuni ya Lugumi, jambo ambalo wao wanadai si la kweli na ni la kupuuzwa na umma.
'Hatujawahi kufanya biashara na kampuni ya Lugumi Enterprises' Amesisitiza Bwana Sweki Donald, Naibu Meneja Mkuu Infosys IPS (T) LTD.
Video:
Kitwa -ga anahusika sana na hiyo infosy,na alihusika kutengeneza hill dealUmeshaambiwa Kitwanga ni founder, ila kwa sasa sio Director, hivyo kibiashara anasubili gawio la faida mwisho wa mwaka.
Ok, hata kama Kitwanga angekuwa ni Director kwa sasa, bado wameweka mambo wazi kama infosys, ambayo yako crystal clear.
Watanzania wengi tunapelekwa na matakwa ya wanasiasa, Lowasa alivyokuwa CCM tuliambiwa ni fisadi, tukimuona tumzomee, ameingia CHADEMA amekuwa msafi kama malaika.
Vijana tuache kutumika katika siasa!
Toka lini kukanusha kukawa ndio ukweli? Hata Babu Seya alikanusha kubaka na bado akafungwa........BTW huyo msemaji mbon hasemi uhusikaji wa Kitwanga na kampuninya Infosys?Haya sasa ukweli umewekwa wazi kumbe ni juhudi za kumpiga vita Waziri Kitwanga na kutaka kuichafua serikali ya Magufuli.
Wapiga dili tafuteni kiki nyingine ukweli ndio huu.
Huu Uzi umeanzishwa na kitwanga ili ahadae watanzania.chief!hana pakutokea kwenye hili sakata la lugumi!
Acheni kutafuta mchawi,acheni kuwasingizia wapinzani,acheni kutafuta huruma kwa wananchi, acheni kutuona wajinga.Mkuu wakati Magufuli na serikali yake wakipambana kuleta maendeleo ya nchi yetu kwa juhudi kubwa kuna watu wanapambana kuona hafanikishi hilo kwa manufaa ya vyama vyao na dili zao. Kelele nyingi ila ndio mafisadi wakubwa tungewaachia funguo ya hazina tungejuta sisi na vizazi vyote.
Nani kakuuliza wewe jamaa uwa punguani kweli kila kitu Nairobi yaani wewe kwako Nairobi ni zaidi ya New York.Mimi nilianza kusikia habari za lugumi na uhusikaji wa ridhwani since last year nikiwa nairobi
Sina shida na Lizaboni kujibu kwa niaba yake ili mradi aje na majibu yanayokidhiNgoja atakujibu mdogo wake,anakuja sasa hivi Lizaboni