Acha maneno yako ya Mkoleni wewe,huyo Nesi wako hajamfikia St. Gaucho hata nusu ya uwezo wake na isitoshe huyo Nesi wako anacheza mpira kipindi ambacho hakuna mabeki wa ukweli na wenye roho ngumu bali kuna mapazia tuu. Kingine na kama Barca haimbebi kwa kuwa na wachezaji talented wengi kwanini timu ya Taifa hafanyi vizuri?
ni kweli mkuu ila unasahau logic waliomjaji kipindi hicho hasa ni wa ulaya maana ndo waliojipa haki ya kuhukumu viwango vya soka kipindi hicho, yaani ina maana walipokutana na huyo pele waliona mambo mageni kabisa kufanyika katika soka.FATHER OF REALITY Unamzungumzia Pele ambaye hata Ulaya hakuwahi kucheza?
Hujakosea, wachezaji wengi wamekuja na kupotea lakini ukiwalinganisha walipokuwa kwenye peak zao toka nami nimeanza kuangalia mpira hakuna kama Ronaldinho, alikuwa na vitu adimu sana ambavyo havionekani popote.
Ronaldinho alipokuwa kwenye kiwango chake cha juu huwezi kumlinganisha kabisa na Ronaldo wala Messi.
Nakubaliana na wewe.
Nimeshasema na I stand by my own statement. Mchezaji wa uwezo wa Dinho hutokea once in 20 years. Baada ya Maradona akaja Dinho ambae ndio nabii wa soka wa mwisho na tunasubiri nabii mwengine
Na the next nabii sio huyo mueskimo, mbilikimo Nessi au Messi
Kuna watoto wameanza kuangalia nakufuatilia mpira juzi baada ya barca kuwa mabingwa wa la liga...hao hawajui kama kuna kina dinho walipita pale,hawajui kuwa kuna mtu anaitwa dinho aliwafunga chelsea huku anakata kiuno,dinho ni mchezaji pekee kwa kariba ya miaka ya 2000 hadi sasa ambaye amepigiwa makofi pale santiago baada yakutunyanyasa vilivyo,yaan unaona kabisa mtu amekuzidi kila kitu,hachezi straight football kama kina ronaldo na messi,anakusubiri anakutia kanzu saafi kabisa,anakutia tobo,anakutia vyenga hadi unaanguka mwenyewe kama umepigwa ngumi na tyson,kisha anaondoka huku anacheka....dinho akishika mpira huwa timu pinzan inaomba atoe pasi kwa mwingine maana kuchukua mpira kwake ni ngumu kuliko kubaka mtoto mchanga bila kumtoa damu....na alaaniwe anayesema messi au CR7 wamelingana na dinho...
Dinho made Barca...hilo uliweke akilini
Iko hivi Gaucho ndio ameisababisha Barca iko hapo ilipo kwa sasa, Messi kwenye clip ntakayoweka hapo chini anakiri kwamba Ronaldinho ndio ameleta mafanikio makubwa Barca na kwamba ndie aliemsaidia hadi kufikia hapo maana hata goli lake la kwanza Messi kufunga akiwa Barca ni pande toka kwa Dhinho. Anasema hata free kick Dhinho ndie alikua anakaa nae uwanjani hata masaa saba akimfundisha kupiga free kick peku ili azoee.
Katika kipindi cha televisheni kilichoandaliwa mwaka juzi na kueushwa Barca TV hadi mwaka jana katika kusherehekea mafanikio na ujio wa Dinho Barca walikua wakiwahoji watu mbali mbali mchango wa mbrazil huyo na kila mtu alikiri kwamba " Barca got its its smile back'' baada ya ujio wa Dinho, kipindi kilikua kinaitwa
Quan el Barça va recuperar el Somriure yaani kwa kiingereza when Barca got its smile back na kipindi cha the return of the king kilichokua kinaangalia mabadiliiko ya timu baada ya ujio wa Dinho Barca.
Messi anasema kwa kihispaniola kwamba Aprendi mucho de Ronaldinho na anasema Barca should always be grateful for every thing Dinho did.
Ronaldinho alisababisha kila mtu aishabikie Barca kuanzia watoto,wakubwa,kila mtu alipenda kumuona Dinho uwanjani,kila mtu aliijua Barca miaka hiyo. Ronaldinho alikua anatoa burudani uwanjani,mwaka 2005 November El clasico kati ya Barca na Madrid mashabiki wa madrid uzalendo uliwashinda ikabidi wote wasimame na kumshangilia Dinho,haijawahi kutokea,hiyo ni baada ya Dinho kuwasumbua mabeki wa madrid kama watoto wake.
Kwenye kuuchezea mpira Gaucho hana mpinzani kizazi hiki,hata kwangu Gaucho hana mpinzani,sio pele wala messi wala CR7
Gaucho uishi milele
Soma mwenyewe hapa na angalia hiyo clip.
Messi: âI learned a lot from Ronaldinhoâ | FC Barcelona
Kusema kwamba Dinho ameijenga Barca hayo ni maneno ya kutukutazana ndani ya timu.
Aliyeleta mafanikio kwa miaka 15 ndani ya Barca ni Johan Cruyff, assume Barca wasingekuwa na ule mfumo wangemsumbua nani?
Huyo Gaucho ambae kaijenga Barca hajaipa Barca mafanikio kama Lionel Messi, kwani bila Gaucho Messi asingetokea na kuwika?
Kwa kumalizia niseme tu kwamba wachezaji mda mwingine huwa wanafarijiana, usije shangaa siku Sir Alex akaja akamsifia Messi kuliko Ronaldo. Hata wewe ungekuwa ndo star wa Barca na kizazi chako kimepita mimi nitakayerithi siwezi kukuponda, nitakupaisha tena sana tuu.
Jamaa wewe ni mbishi sana na nadhani una chuki binafsi na St. Gaucho. Nadhani haujui historia au mwenendo wa Barca kabla wa ujio wa Nabii na Mtume wa mwisho katika Soka,Barca ilishapotea kwenye Ulimwengu wa Soka tangu Mwaka 1994 baada ya kufungwa 4 bila na AC Milan kwenye fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya,sasa baada ya Dinho kutua pale hali ikabadilika ndio hii Barca unayoiona sasa hivi na huyo Messi wako St Dinho ndio aliewajengea msingi.
Gaucho hajafikia hata robo ya messi
Gaucho is the greatest player of all the times and indeed is second to none
Mkuu ukiangalia hiyo clip niliyoweka hapo ambayo nadhanni huyo jamaa hakuiangalia messi anakiri kwamba e erything changed after the coming of His excellency Hon. Ronaldinho Gaucho the Prophet of football.Jamaa wewe ni mbishi sana na nadhani una chuki binafsi na St. Gaucho. Nadhani haujui historia au mwenendo wa Barca kabla wa ujio wa Nabii na Mtume wa mwisho katika Soka,Barca ilishapotea kwenye Ulimwengu wa Soka tangu Mwaka 1994 baada ya kufungwa 4 bila na AC Milan kwenye fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya,sasa baada ya Dinho kutua pale hali ikabadilika ndio hii Barca unayoiona sasa hivi na huyo Messi wako St Dinho ndio aliewajengea msingi.
Mkuu ukiangalia hiyo clip niliyoweka hapo ambayo nadhanni huyo jamaa hakuiangalia messi anakiri kwamba e erything changed after the coming of His excellency Hon. Ronaldinho Gaucho the Prophet of football.
Mtakatifu Dinho ni habari nyingine katika soka,ulikua ukimuangalia Dinho unatoka uwanjani moyo wako umesuuzika hata kama mmefungwa