Ingawa sijawaona Pele na Maradona, ila nina uhakika hawamfikii Gaucho

Acha maneno yako ya Mkoleni wewe,huyo Nesi wako hajamfikia St. Gaucho hata nusu ya uwezo wake na isitoshe huyo Nesi wako anacheza mpira kipindi ambacho hakuna mabeki wa ukweli na wenye roho ngumu bali kuna mapazia tuu. Kingine na kama Barca haimbebi kwa kuwa na wachezaji talented wengi kwanini timu ya Taifa hafanyi vizuri?

Hayo ni maneno ya Gaucho mwenyewe, naona umeamua kubishana naye - ni kama kusherehekea kuliko maharusi ama kulia kuliko wafiwa!
 
FATHER OF REALITY Unamzungumzia Pele ambaye hata Ulaya hakuwahi kucheza?
ni kweli mkuu ila unasahau logic waliomjaji kipindi hicho hasa ni wa ulaya maana ndo waliojipa haki ya kuhukumu viwango vya soka kipindi hicho, yaani ina maana walipokutana na huyo pele waliona mambo mageni kabisa kufanyika katika soka.

afu mkuu wachezaji wenye vipaji vya ajabu wapo amerika ya kusini, ulaya wanafuata pesa kwa kuwa ulaya ni matajiri na waamerika ni maskini. Nikukumbushe, Ronadinho alipochukuwa uchezaji wa dunia under 21 wa ulaya walikuwepo na hawakupata, pia Ronaldinho hakuwa anacheza ulaya, lakini unafikiri kipaji cha de Lima kiligundulika ulaya au akiwa brazil, afu mkuu, kwanini huku ulaya huku mnakofikiri ndo kuna kiwango cha ajabu watingishwe na wtu wa amerika, ushawahi kujiuliza hilo, ili timu za ulaya zitikise na kujisikia kamili zinatawaliwa na wachezaji wa amerika.

KIDOGO MKUU ILI TWENDE SAWA

kwa sasa

  • Zabaleta, aguero, demichelin man city
  • marcelo, pepe (mbrazil kachukua uraia tayari super satar), MADRID.
  • wilian, oscar, philipe luiz, ramiles, coaster(mbrazil kachukuwa araia spain akiwa star, baada ya kukosa namba brazil) Chelsea
  • sanchez na gabrie paulista, Arsernal
  • rojo, falcao,di maria, fabio na rafael, MAN U.
  • alves, neyamr, machelano, messi, adriano,rafinha

zamani siwezi maliza

  • kaka, cafu, de lima, rivaldo, elbar (munich), ze roberto, lucio, walter samuel, cambiaso, diego simeone, salas,zamorano, crespo, walter samuel, cambiaso, maicon, carlos, savio,

kwa kifupi kaka kiwango cha mtu kinakuwepo ishu ni kuja kuonekana, hao wachezaji wa hapo asilimia zaidi ya 95 wana mchango mkubwa mno kwa mafanikio ya vilabu vya ulaya. mfano sasa hiv ligi nyingi wafungaji ni waamerika, na pia mategemeo ya timu, kutokucheza ulaya si hoja sana ingawa ni changamoto ila si kipimo cha ubora wa mtu binafsi. dunga ni no six ya kiwango cha juu, imeishai flamengo, wa ulaya wanaazima kujifunza mengi kuhusu skills toka kwa waamerika.

SI KWAMBA ULAYA NA AFRIKA HAWANA SKILLED PLAYERS ILA AMERIKA WAPO LUKUKI NA NI COMPLETE PLAYERS. KAMA USHACHEZA TIMU ZA MTAA, MNAENDA KUAZIMA MCHEZAJI ALIYEWAPITA KIWANGO NINYI AU HATA WAPINZANI WENU.
 
Hujakosea, wachezaji wengi wamekuja na kupotea lakini ukiwalinganisha walipokuwa kwenye peak zao toka nami nimeanza kuangalia mpira hakuna kama Ronaldinho, alikuwa na vitu adimu sana ambavyo havionekani popote.

Ronaldinho alipokuwa kwenye kiwango chake cha juu huwezi kumlinganisha kabisa na Ronaldo wala Messi.

Nakubaliana na wewe.

hoja imepitishwa bila kupingwa..
 
Hivi wanaosema Messi kamzidi kiwango Gaucho ,huwa wanatania au wanadhamiria?

Hivi why hawajiulizi kwa nini hakuna " Next ronaldinho "?
Ila kuna next Messi, Ronaldo?
 
Kuna watoto wameanza kuangalia nakufuatilia mpira juzi baada ya barca kuwa mabingwa wa la liga...hao hawajui kama kuna kina dinho walipita pale,hawajui kuwa kuna mtu anaitwa dinho aliwafunga chelsea huku anakata kiuno,dinho ni mchezaji pekee kwa kariba ya miaka ya 2000 hadi sasa ambaye amepigiwa makofi pale santiago baada yakutunyanyasa vilivyo,yaan unaona kabisa mtu amekuzidi kila kitu,hachezi straight football kama kina ronaldo na messi,anakusubiri anakutia kanzu saafi kabisa,anakutia tobo,anakutia vyenga hadi unaanguka mwenyewe kama umepigwa ngumi na tyson,kisha anaondoka huku anacheka....dinho akishika mpira huwa timu pinzan inaomba atoe pasi kwa mwingine maana kuchukua mpira kwake ni ngumu kuliko kubaka mtoto mchanga bila kumtoa damu....na alaaniwe anayesema messi au CR7 wamelingana na dinho...
 
Nimeshasema na I stand by my own statement. Mchezaji wa uwezo wa Dinho hutokea once in 20 years. Baada ya Maradona akaja Dinho ambae ndio nabii wa soka wa mwisho na tunasubiri nabii mwengine
Na the next nabii sio huyo mueskimo, mbilikimo Nessi au Messi
 
bwahah ha hah hah hah hah
 
Kuna watoto wameanza kuangalia nakufuatilia mpira juzi baada ya barca kuwa mabingwa wa la liga...hao hawajui kama kuna kina dinho walipita pale,hawajui kuwa kuna mtu anaitwa dinho aliwafunga chelsea huku anakata kiuno,dinho ni mchezaji pekee kwa kariba ya miaka ya 2000 hadi sasa ambaye amepigiwa makofi pale santiago baada yakutunyanyasa vilivyo,yaan unaona kabisa mtu amekuzidi kila kitu,hachezi straight football kama kina ronaldo na messi,anakusubiri anakutia kanzu saafi kabisa,anakutia tobo,anakutia vyenga hadi unaanguka mwenyewe kama umepigwa ngumi na tyson,kisha anaondoka huku anacheka....dinho akishika mpira huwa timu pinzan inaomba atoe pasi kwa mwingine maana kuchukua mpira kwake ni ngumu kuliko kubaka mtoto mchanga bila kumtoa damu....na alaaniwe anayesema messi au CR7 wamelingana na dinho...

hoja imepita bila kupingwa...
 
Dinho made Barca...hilo uliweke akilini

Iko hivi Gaucho ndio ameisababisha Barca iko hapo ilipo kwa sasa, Messi kwenye clip ntakayoweka hapo chini anakiri kwamba Ronaldinho ndio ameleta mafanikio makubwa Barca na kwamba ndie aliemsaidia hadi kufikia hapo maana hata goli lake la kwanza Messi kufunga akiwa Barca ni pande toka kwa Dhinho. Anasema hata free kick Dhinho ndie alikua anakaa nae uwanjani hata masaa saba akimfundisha kupiga free kick peku ili azoee.

Katika kipindi cha televisheni kilichoandaliwa mwaka juzi na kueushwa Barca TV hadi mwaka jana katika kusherehekea mafanikio na ujio wa Dinho Barca walikua wakiwahoji watu mbali mbali mchango wa mbrazil huyo na kila mtu alikiri kwamba " Barca got its its smile back'' baada ya ujio wa Dinho, kipindi kilikua kinaitwa
‘Quan el Barça va recuperar el Somriure yaani kwa kiingereza when Barca got its smile back na kipindi cha the return of the king kilichokua kinaangalia mabadiliiko ya timu baada ya ujio wa Dinho Barca.

Messi anasema kwa kihispaniola kwamba Aprendi mucho de Ronaldinho na anasema Barca should always be grateful for every thing Dinho did.

Ronaldinho alisababisha kila mtu aishabikie Barca kuanzia watoto,wakubwa,kila mtu alipenda kumuona Dinho uwanjani,kila mtu aliijua Barca miaka hiyo. Ronaldinho alikua anatoa burudani uwanjani,mwaka 2005 November El clasico kati ya Barca na Madrid mashabiki wa madrid uzalendo uliwashinda ikabidi wote wasimame na kumshangilia Dinho,haijawahi kutokea,hiyo ni baada ya Dinho kuwasumbua mabeki wa madrid kama watoto wake.

Kwenye kuuchezea mpira Gaucho hana mpinzani kizazi hiki,hata kwangu Gaucho hana mpinzani,sio pele wala messi wala CR7

Gaucho uishi milele

Soma mwenyewe hapa na angalia hiyo clip.

Messi: “I learned a lot from Ronaldinho” | FC Barcelona
 
Kusema kwamba Dinho ameijenga Barca hayo ni maneno ya kutukutazana ndani ya timu.
Aliyeleta mafanikio kwa miaka 15 ndani ya Barca ni Johan Cruyff, assume Barca wasingekuwa na ule mfumo wangemsumbua nani?
Huyo Gaucho ambae kaijenga Barca hajaipa Barca mafanikio kama Lionel Messi, kwani bila Gaucho Messi asingetokea na kuwika?
Kwa kumalizia niseme tu kwamba wachezaji mda mwingine huwa wanafarijiana, usije shangaa siku Sir Alex akaja akamsifia Messi kuliko Ronaldo. Hata wewe ungekuwa ndo star wa Barca na kizazi chako kimepita mimi nitakayerithi siwezi kukuponda, nitakupaisha tena sana tuu.
 
Jamaa wewe ni mbishi sana na nadhani una chuki binafsi na St. Gaucho. Nadhani haujui historia au mwenendo wa Barca kabla wa ujio wa Nabii na Mtume wa mwisho katika Soka,Barca ilishapotea kwenye Ulimwengu wa Soka tangu Mwaka 1994 baada ya kufungwa 4 bila na AC Milan kwenye fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya,sasa baada ya Dinho kutua pale hali ikabadilika ndio hii Barca unayoiona sasa hivi na huyo Messi wako St Dinho ndio aliewajengea msingi.
 
Mkuu sasa huyo Gaucho hajacheza hiyo Tiki taka? Na kuanzia miaka ya 2003 na Kuendelea hii formation ilikuwa bado haijakolea sana, wakaja watu ambao wakawa wanafunzwa huu mchezo tangu wakiwa vijana wadogo. walipoingia ndo wakatangaza zaidi huu mfumo.
Simpingi Gaucho hata kidogo, ila napinga pale unaponiambia Barca imeletewa mafanikio na Gaucho. Kwahiyo kama Gaucho asingekuja Barca unataka kusema Barca leo angekuwa kama Sevila au Malaga?
Gaucho ndiye mchezaji mwenye skillz za ajabu ambae nimemshuhudia kwa macho yangu, alkuwa ananifurahisha sana akikokota huku mabeki wakigonga miguu yake na kushindwa kuchukua mipira huku yeye hata kudondoka anashindwa. Akaenda Milan kunenepa matokeo yake akawa hamalizi dakika 90 na kuna Game chache akawa anaingia Sub. Jamaa ni kipaji sikatai kabisa na kumtazama analeta radha sana.
Ila kwa upande wangu nikiwa kama Kocha Gaucho akiwa katika Ubora na Messi akiwa katika Ubora wake natupa karata yangu kwa Messi. Nimemshuhudia Gaucho akiwa kwa macho yangu na ninamshuhudia Messi. Messi ni habari nyingineeeee.
Turudi kwenye mada, Gaucho na Maradona na Pele, sitamsemea Pele sababu sijamshuhudia zaidi ya kusoma tu data zake na kumuona Youtube. Sidhani kama ni vema Gaucho kuwalinganisha na hawa majamaa. Gaucho anavutia kwa kumtazama tuu jinsi anavyokokota mpira na chenga zake ila kwenye upande wa kucheza mpira haswa huwezi kumuweka Gaucho na akina Maradona aisee.
 
Gaucho is the greatest player of all the times and indeed is second to none

To me...

Gaucho is a century footballer

Gaucho is my best playmaker, I don't think if I will see any other best player as he was..we have messi, cristiano and the legends( Pele & maradona) but Gaucho will remain the best...

Viva Gaucho viva ronaldinho
 
Jamaa wewe ni mbishi sana na nadhani una chuki binafsi na St. Gaucho. Nadhani haujui historia au mwenendo wa Barca kabla wa ujio wa Nabii na Mtume wa mwisho katika Soka,Barca ilishapotea kwenye Ulimwengu wa Soka tangu Mwaka 1994 baada ya kufungwa 4 bila na AC Milan kwenye fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya,sasa baada ya Dinho kutua pale hali ikabadilika ndio hii Barca unayoiona sasa hivi na huyo Messi wako St Dinho ndio aliewajengea msingi.
Mkuu ukiangalia hiyo clip niliyoweka hapo ambayo nadhanni huyo jamaa hakuiangalia messi anakiri kwamba e erything changed after the coming of His excellency Hon. Ronaldinho Gaucho the Prophet of football.

Mtakatifu Dinho ni habari nyingine katika soka,ulikua ukimuangalia Dinho unatoka uwanjani moyo wako umesuuzika hata kama mmefungwa
 
Ninasema na nitarudia kusema, hajawahi kutokea Mchezaji mzuri kwa mbwembwe kama Gaucho, HAKUNAAAA.
Gaucho huwezi ukamuweka level moja hata na Messi, Zidane, Maradona n.k Hivi Mkuu ushawahi kumuona hata Zidane?
 
Back
Top Bottom