Iko hivi Gaucho ndio ameisababisha Barca iko hapo ilipo kwa sasa, Messi kwenye clip ntakayoweka hapo chini anakiri kwamba Ronaldinho ndio ameleta mafanikio makubwa Barca na kwamba ndie aliemsaidia hadi kufikia hapo maana hata goli lake la kwanza Messi kufunga akiwa Barca ni pande toka kwa Dhinho. Anasema hata free kick Dhinho ndie alikua anakaa nae uwanjani hata masaa saba akimfundisha kupiga free kick peku ili azoee.
Katika kipindi cha televisheni kilichoandaliwa mwaka juzi na kueushwa Barca TV hadi mwaka jana katika kusherehekea mafanikio na ujio wa Dinho Barca walikua wakiwahoji watu mbali mbali mchango wa mbrazil huyo na kila mtu alikiri kwamba " Barca got its its smile back'' baada ya ujio wa Dinho, kipindi kilikua kinaitwa
Quan el Barça va recuperar el Somriure yaani kwa kiingereza
when Barca got its smile back na kipindi cha the return of the king kilichokua kinaangalia mabadiliiko ya timu baada ya ujio wa Dinho Barca.
Messi anasema kwa kihispaniola kwamba Aprendi mucho de Ronaldinho na anasema Barca should always be grateful for every thing Dinho did.
Ronaldinho alisababisha kila mtu aishabikie Barca kuanzia watoto,wakubwa,kila mtu alipenda kumuona Dinho uwanjani,kila mtu aliijua Barca miaka hiyo. Ronaldinho alikua anatoa burudani uwanjani,mwaka 2005 November El clasico kati ya Barca na Madrid mashabiki wa madrid uzalendo uliwashinda ikabidi wote wasimame na kumshangilia Dinho,haijawahi kutokea,hiyo ni baada ya Dinho kuwasumbua mabeki wa madrid kama watoto wake.
Kwenye kuuchezea mpira Gaucho hana mpinzani kizazi hiki,hata kwangu Gaucho hana mpinzani,sio pele wala messi wala CR7
Gaucho uishi milele
Soma mwenyewe hapa na angalia hiyo clip.
Messi: âI learned a lot from Ronaldinhoâ | FC Barcelona