Ingawa sijawaona Pele na Maradona, ila nina uhakika hawamfikii Gaucho

Dinho ndani ya 18 anatoa pande hawa wa sasa kwa kupenda ufungaji bora yaan wao wanapenda tu wafunge
 
Walter Samwel wa Inter tu alitosha kumpiga pini Messi kwenye UCL ambayo Inter walibeba kombe
 
Gang Chomba video ninayo sema kuupload siwez sasa usiongee mengi na ukiniambia anavipita visichana unakuwa unaikosea adabu hata timu yako ya acmilan rejea mechi tuliyokupiga 4 alaf lile goli la pili la messi unajua messi alipiga chenga beki ngapi kabla ya kumtungua kipa wako mwenye upara na hyo video yangu inaonyesha ni kias gani nesta alipata shida kwani alitamani hata atoke uwanjani
 
Messi ana ring ya World Cup?
 
Si unaonaaaa, ndo maana sikutaka kuendeleza huu mjadala kati ya Messi na Gaucho. Yaani mnapima uwezo wa mchezaji kwa timu ya taifa tuu. Endeleeni na hio mijadala, kila la heri.

Kwa haya maneno yako ndio nimethibitisha kweli wewe mpira haujui ila unamjua Messi tuu. Eti tunapima mafanikio ya mchezaji kwa timu ya Taifa tuu,ni kombe gani alilochukua huyo Messi wako ambalo Dnho the Magic hajawahi kuchukua kwa ngazi ya Club hasa hapo Barca?mbona unataka kujizalilisha pasipo na msingi?Dinho Mnyama kachukua la liga,Kombe la mfalme,Club Bingwa Ulaya,Club Bingwa Dunia na uchafu mwingine wote unaoujua wewe. Tatizo lako kubwa umeanza kuangalia na kufuatilia mpira Mwaka 2011.
 
na ningeshangaa sana kama ungerudu na jibu...
bwah hah hah hah hah hah hah

Achana nae huyu haujui mpira bali anamjua Messi tuu,hajui kama Mchezaji aliekamilika ni yule aliieshiriki mashindano yote kwa ngazi ya clubs na Natiional Team na kufanikiiwa kuchukua makombe yote aliyoshiriki. Kwanza huyo Messi namfananiisha na George Opong Weah tuu.
 
Sawa Mkuu, una lingine la nyongeza?
 
Huyu anajichanganya sana kwa maelezo yake,huko juu anadai kuwa Messi ni jeshi la mtu mmoja sasa nashindwa kuelewa kama ni hivyo kwanini haisaidii Timu ya Taifa kuchukua World Cup au hata Copa America na huku akiwa na wakina Di Maria,Tevez,Aguiero nk.
 
Sawa Mkuu, una lingine la nyongeza?

Bado nina swali moja na dogo kutoka kwako,ni kombe gani kwa ngazi ya Club hasa hapo Barca alilochukua Messi na Ronaldinho Gaucho the Magic hajawahi kuchukua?naomba jibu nifunge mjadala.
 
Bado nina swali moja na dogo kutoka kwako,ni kombe gani kwa ngazi ya Club hasa hapo Barca alilochukua Messi na Ronaldinho Gaucho the Magic hajawahi kuchukua?naomba jibu nifunge mjadala.
ok ngoja nikujibu alafu uamini kuwa messi ni mkali COPA DELAY
 
Bado nina swali moja na dogo kutoka kwako,ni kombe gani kwa ngazi ya Club hasa hapo Barca alilochukua Messi na Ronaldinho Gaucho the Magic hajawahi kuchukua?naomba jibu nifunge mjadala.

Au bdo huamini!!! nikutajie na mengine EUROPEAN SUPER CUP nikutajie lingine tena CLUB WORLD CHAMPIONS naomba ufunge mjadala mkuu
 
Bado nina swali moja na dogo kutoka kwako,ni kombe gani kwa ngazi ya Club hasa hapo Barca alilochukua Messi na Ronaldinho Gaucho the Magic hajawahi kuchukua?naomba jibu nifunge mjadala.

Mkuu tunakusubiria ufunge mjadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…