the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
Messi ana rekodi ya dunia ya kufunga magoli mengi zaidi katika mwaka mmoja!, Ronaldo ana rekodi ya a dunia ya kupata hat tricks nyingi katika musimu mmoja! Na wote wawili wamemzidi Gaucho kwa Kuwa na ballon D'Or nyingi kuliko Gaucho, messi ana nne, na Ronaldo ana Tatu wakati Gaucho ana mbili tu. Haya njoo hapa utuwekee rekodi za Gaucho za dunia kama ubavu huo unao!
Dinho ndani ya 18 anatoa pande hawa wa sasa kwa kupenda ufungaji bora yaan wao wanapenda tu wafunge