Ingawa sijawaona Pele na Maradona, ila nina uhakika hawamfikii Gaucho

Messi ana rekodi ya dunia ya kufunga magoli mengi zaidi katika mwaka mmoja!, Ronaldo ana rekodi ya a dunia ya kupata hat tricks nyingi katika musimu mmoja! Na wote wawili wamemzidi Gaucho kwa Kuwa na ballon D'Or nyingi kuliko Gaucho, messi ana nne, na Ronaldo ana Tatu wakati Gaucho ana mbili tu. Haya njoo hapa utuwekee rekodi za Gaucho za dunia kama ubavu huo unao!

Dinho ndani ya 18 anatoa pande hawa wa sasa kwa kupenda ufungaji bora yaan wao wanapenda tu wafunge
 
then hayo magoli anayafunga kipindi hiki mabeki wenyewe dakika zote 90 wanatembea uwanjani huku wanajitoa doksi nyuma.
kama yeye ni striker mbona hakuwahi kumpita Nesta na kufunga tena Nesta huyo aliekuwa ameshazeheka?

njoo na video NESI kampita Nesta na kufunga goli basi Mods wanifungie mwezi mzima...

atavipita visichana vyenzie hivyohivyo shenz type.

Walter Samwel wa Inter tu alitosha kumpiga pini Messi kwenye UCL ambayo Inter walibeba kombe
 
then hayo magoli anayafunga kipindi hiki mabeki wenyewe dakika zote 90 wanatembea uwanjani huku wanajitoa doksi nyuma.
kama yeye ni striker mbona hakuwahi kumpita Nesta na kufunga tena Nesta huyo aliekuwa ameshazeheka?

njoo na video NESI kampita Nesta na kufunga goli basi Mods wanifungie mwezi mzima...

atavipita visichana vyenzie hivyohivyo shenz type.

Gang Chomba video ninayo sema kuupload siwez sasa usiongee mengi na ukiniambia anavipita visichana unakuwa unaikosea adabu hata timu yako ya acmilan rejea mechi tuliyokupiga 4 alaf lile goli la pili la messi unajua messi alipiga chenga beki ngapi kabla ya kumtungua kipa wako mwenye upara na hyo video yangu inaonyesha ni kias gani nesta alipata shida kwani alitamani hata atoke uwanjani
 
Messi ana ring ya World Cup?
 
World-Cup-2014-A-death-a-redemption-and-a-false-dawn-7162014.png

Si unaonaaaa, ndo maana sikutaka kuendeleza huu mjadala kati ya Messi na Gaucho. Yaani mnapima uwezo wa mchezaji kwa timu ya taifa tuu. Endeleeni na hio mijadala, kila la heri.

Kwa haya maneno yako ndio nimethibitisha kweli wewe mpira haujui ila unamjua Messi tuu. Eti tunapima mafanikio ya mchezaji kwa timu ya Taifa tuu,ni kombe gani alilochukua huyo Messi wako ambalo Dnho the Magic hajawahi kuchukua kwa ngazi ya Club hasa hapo Barca?mbona unataka kujizalilisha pasipo na msingi?Dinho Mnyama kachukua la liga,Kombe la mfalme,Club Bingwa Ulaya,Club Bingwa Dunia na uchafu mwingine wote unaoujua wewe. Tatizo lako kubwa umeanza kuangalia na kufuatilia mpira Mwaka 2011.
 
na ningeshangaa sana kama ungerudu na jibu...
bwah hah hah hah hah hah hah

Achana nae huyu haujui mpira bali anamjua Messi tuu,hajui kama Mchezaji aliekamilika ni yule aliieshiriki mashindano yote kwa ngazi ya clubs na Natiional Team na kufanikiiwa kuchukua makombe yote aliyoshiriki. Kwanza huyo Messi namfananiisha na George Opong Weah tuu.
 
Kwa haya maneno yako ndio nimethibitisha kweli wewe mpira haujui ila unamjua Messi tuu. Eti tunapima mafanikio ya mchezaji kwa timu ya Taifa tuu,ni kombe gani alilochukua huyo Messi wako ambalo Dnho the Magic hajawahi kuchukua kwa ngazi ya Club hasa hapo Barca?mbona unataka kujizalilisha pasipo na msingi?Dinho Mnyama kachukua la liga,Kombe la mfalme,Club Bingwa Ulaya,Club Bingwa Dunia na uchafu mwingine wote unaoujua wewe. Tatizo lako kubwa umeanza kuangalia na kufuatilia mpira Mwaka 2011.

Sawa Mkuu, una lingine la nyongeza?
 
hah hah hah hah ndo maana kumbe...
ninegundua umri wako bado ndo maana kila kukicha ni bla bla tu.
umewataja De Lima, Carlos, Cafu na Dunga na kudai kuwa eti ukiwa nao hao watu huwezi kukosa kombe..
but nakukumbusha kuwa watu hao walikuwapo mwaka 98 na kuambulia kipigo cha goli 3-0 toka kwa France ktk Fainali ya kombe la Dunia.

sasa nimetambua kuwa natakiwa kumfundisha soka mtu wa namna gani.

Huyu anajichanganya sana kwa maelezo yake,huko juu anadai kuwa Messi ni jeshi la mtu mmoja sasa nashindwa kuelewa kama ni hivyo kwanini haisaidii Timu ya Taifa kuchukua World Cup au hata Copa America na huku akiwa na wakina Di Maria,Tevez,Aguiero nk.
 
Sawa Mkuu, una lingine la nyongeza?

Bado nina swali moja na dogo kutoka kwako,ni kombe gani kwa ngazi ya Club hasa hapo Barca alilochukua Messi na Ronaldinho Gaucho the Magic hajawahi kuchukua?naomba jibu nifunge mjadala.
 
ok ngoja nikujibu alafu uamini kuwa messi ni mkali COPA DELAY
 
Bado nina swali moja na dogo kutoka kwako,ni kombe gani kwa ngazi ya Club hasa hapo Barca alilochukua Messi na Ronaldinho Gaucho the Magic hajawahi kuchukua?naomba jibu nifunge mjadala.

Au bdo huamini!!! nikutajie na mengine EUROPEAN SUPER CUP nikutajie lingine tena CLUB WORLD CHAMPIONS naomba ufunge mjadala mkuu
 
Bado nina swali moja na dogo kutoka kwako,ni kombe gani kwa ngazi ya Club hasa hapo Barca alilochukua Messi na Ronaldinho Gaucho the Magic hajawahi kuchukua?naomba jibu nifunge mjadala.

Mkuu tunakusubiria ufunge mjadala
 
Back
Top Bottom