Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Ni kweli hawakuwa na dini, lakini walikuwa wanakesha na kuchinja mbuzi makaburini, Nadhani Dini ni njia sahihi kuliko hayo.Kwani wazee wako huko kijijini miaka si mingi, fanya 90 tu nyuma walikuwa na dini? Dini ni scam.
Ni kweli zamani sana hapakuwa na dini, lakini nadhani dini zimeletwa kama suluhisho baada ya dhambi kuzidi katika nyakati hizoKabla ya mwaka 1 AD hakukuwa na dini duniani japo watu walikuwepo na dhambi pia ilikuwepo kwa sababu kila penye mwanadamu hapakosi dhambi vilevile.
Hakuna kinachoweza kumaliza dhambi duniani kwa sababu Mungu alishalaani binadamu kufuatia yaliyotokea kwenye bustani ya edeni.
MaajabuKabla ya mwaka 1 AD hakukuwa na dini duniani japo watu walikuwepo na dhambi pia ilikuwepo kwa sababu kila penye mwanadamu hapakosi dhambi vilevile.
Hakuna kinachoweza kumaliza dhambi duniani kwa sababu Mungu alishalaani binadamu kufuatia yaliyotokea kwenye bustani ya edeni.
Dini ni mfumo wa maisha ambao jamii yoyote lazima iwe nayo by default karne na karne, shida ni pale jamii nyingine inapotaka kuwa brainwash watu wa jamii nyingine kwa kutaka kuwaletea namna yao ya kuishi kwa kigezo cha kuwamobilize, hiyo ni scam.Ni kweli hawakuwa na dini, lakini walikuwa wanakesha na kuchinja mbuzi makaburini, Nadhani Dini ni njia sahihi kuliko hayo.
Sijui ingekuwaje, watu wanaoa watoto wa miaka 9.Ingekuwa vipi kama dini hazipo, ni wapi watu wangepata maarifa na taratibu za kuishi kwa hekima? Ni wapi tungepata sheria na kanuni za kutatua changamoto za kiroho?
Naelewa bado dini zipo lakini maovu yanaendelea, je ingekuwaje kama dini hazikuwepo kabisa? Inamaana maovu yangezidi na hakuna wa kukemea.
Dini zisinge kuwepo, kipimo cha uovu kingekuwa ni nini? Makatazo ya maovu yangetoka wapi?
Ingekuwa vipi?
Unaposema dini unamaanisha nini?Ingekuwa vipi kama dini hazipo, ni wapi watu wangepata maarifa na taratibu za kuishi kwa hekima? Ni wapi tungepata sheria na kanuni za kutatua changamoto za kiroho?
Naelewa bado dini zipo lakini maovu yanaendelea, je ingekuwaje kama dini hazikuwepo kabisa? Inamaana maovu yangezidi na hakuna wa kukemea.
Dini zisinge kuwepo, kipimo cha uovu kingekuwa ni nini? Makatazo ya maovu yangetoka wapi?
Ingekuwa vipi?
Inamaana binadamu angeweza kujisimamia mwenyewe bila muongozo kutoka kwa aliyemuweka hapa Duniani?Binaadam kwa kutumia utashi tu angeandaa namna nyingine ya kujisimamia.
Unaona kuna hizi sheria zimesimama ili kutoa haki,ingawa sio 100% ni zao la binaadam.
Dini ni mfumo wa kuabudu na kuishi kwa utaratibu maalum, zipo nyingi zaidi ya ukristo na uislamuUnaposema dini unamaanisha nini?
Kama ni uislamu na ukristo, kuna nchi nyingi tu hakuna.
Kila mtu angekula kwa urefu wa kamba yakeSijui ingekuwaje, watu wanaoa watoto wa miaka 9.
Watu wangejilimbikizia wanawake 1000 na wengne kukosa.
Hata mimi najiuliza hivyo mkuuKwa hiyo yeye Muumba awaumbe tu bila kuwapa miongozo?
Mkuu unamaanisha watu waendelee na mila zao za zamani?Ni aibu kuona mtu anaacha na kudharau mila na desturi za kwao ambazo zimemkuza na zimekuwa zikifanyika enzi na enzi kwa kigezo cha hizi dini mpya.
Watu wanajiwekea mifumo yao tu, hata hizo dini ni mifumo iliyowekwa na watu.Ingekuwa vipi kama dini hazipo, ni wapi watu wangepata maarifa na taratibu za kuishi kwa hekima? Ni wapi tungepata sheria na kanuni za kutatua changamoto za kiroho?
Naelewa bado dini zipo lakini maovu yanaendelea, je ingekuwaje kama dini hazikuwepo kabisa? Inamaana maovu yangezidi na hakuna wa kukemea.
Dini zisinge kuwepo, kipimo cha uovu kingekuwa ni nini? Makatazo ya maovu yangetoka wapi?
Ingekuwa vipi?
Kuna sisi tunaliwa wanne kwa wakati mmoja, wengine wameambiwa wale mmoja kufa kuzikana, sasa kama si ndini za mwarabu na mroma sijui ingekuwaje.Kila mtu angekula kwa urefu wa kamba yake