Ingekuwa vipi ulimwengu kama kusingekuwa na dini, dunia bila dhambi kipimo cha uovu nini?

Ingekuwa vipi ulimwengu kama kusingekuwa na dini, dunia bila dhambi kipimo cha uovu nini?

Dini ya Kwanza ni UPAGANI, kiongozi wake ni Mwarabu wa Misri ya Kale. Ndio dini yenye wafuasi wengi, nyingine kwa ukubwa sijui.
Upagani ni dini iliyo katika misingi gani? Wana Mungu au hawana?
 
Hufikirii hizi sheria za serikali unazo ziishi saivi ila unafikiria kitu kingine tuu pekeake.😞😞
Umiza kwanza kichwa hizi sheria kali zipo na bado jera watu wamefulika sana.huwazihata kidogo????
 
Safi sana mkuu, wadau wengi hapa wakisema ''dini'' wanamaanisha uislamu na ukristo, dini ambazo kuna maeneo hazipo na watu wanaishi vizuri tu.
Watu wengi wanahitaji elimu ya kiutamaduni na kuelewa kuwa kuna mabilioni ya watu si Waislamu wala Wakristo, na wengine hawana aibu kabisa, na wanaendesha maisha yao vizuri tu.
 
Ninadhani mleta mada pamoja na wachangiaji wengi hawajui hata wanachokijadili.

Miaka yote jamii karibu zote duniani zikiwemo jamii za kiafrika zimekuwa na dini.

Kabla ya kuletwa kwa imani za ukristo, uyahudi, uislamu, uhindu, ubudha, shinto nk, bado dini zilikuwepo.

Kabla ya kujadili chochote mnatakiwa mkubaliane mnaposema ''dini'' mnamaanisha nini?

Ndivyo ilivyokuwaga mijadala humu JF zamani.
Mkuu bufa na kiranga, wameeleza vyema hapo juu, ni mifumo ya morals ambazo jamii fulani zimejiwekea katika kukatazana mabaya na kushape jamio yao/zao.
 
Ticha alijua kabisa kunasheria furani lazima utaenda jera lakini bado haikusaidia kwayeye kupitisha gari kwenye barabara ilio fungwa naulinzi mkali juu yake.
 
Hufikirii hizi sheria za serikali unazo ziishi saivi ila unafikiria kitu kingine tuu pekeake.😞😞
Umiza kwanza kichwa hizi sheria kali zipo na bado jera watu wamefulika sana.huwazihata kidogo????
Na hilo ndilo linalo nipa maswali mengi, kwamba bado sheria zipo na maovu yanazidi, lakini je zisinge kuwepo si maovu yangezidi kwa kiasi kikubwa
 
Sheria za kibinadamu zina nafasi yake katika maisha, pia sheria za dini zina nafasi yake. Hata sheria za binadamu zime copy baadhi ya mambo kutoka kwa sheria za Dini
Usije ukawa unachanganya Dini na Mungu/Miungu, I'm afraid.
 
Back
Top Bottom