Ingekuwa vipi ulimwengu kama kusingekuwa na dini, dunia bila dhambi kipimo cha uovu nini?

Nani huyo alisahau kukwambia haiwezekani kabisa kutenganisha maisha ya mwanadamu na dini?

Mwanadamu kihulka ni mtu wa dini. DNA yake yenyewe imekodiwa misimbo ya dini. Si ajabu vyote viwili huanza kwa herufi D! 🙂

Labda kama hujui maana ya dini, hapo unaweza kueleweka.

Hakuna kipengele cha maisha ambapo dini inaweza kukwepeka.

Mungu ana dini ya watu safi. Sheitwani Ibilisi naye ana dini yake chafu ya kuzimu.

Hapo upo?

Mwanadamu ajihadhari sana sana asije akawa anaikimbilia baharini akidhamiria kuikwepa mvua.

Siku binadamu akitambua kwamba hana amri mkataa kuhusu maisha yake, basi huo utakuwa uvumbuzi mkuu mno kuliko nadharia na mavumbuzi yote ya wanasayansi kwa pamoja.
 
Nani huyo alisahau kukwambia haiwezekani kabisa kutenganisha maisha ya mwanadamu na dini?

Mwanadamu kihulka ni mtu wa dini.

Labda kama hujui maana ya dini, hapo unaweza kueleweka.

Hakuna kipengele cha maisha ambapo dini inaweza kukwepeka.

Mungu ana dini ya watu safi. Sheitwani Ibilisi naye ana dini yake chafu ya kuzimu.

Hapo upo?

Mwanadamu ajihadhari sana sana asije akawa anaikimbilia baharini akidhamiria kuikwepa mvua.

Siku binadamu akitambua kwamba hana amri kuhusu maisha yake, basi huo utakuwa uvumbuzi mkuu mno kuliko nadharia na mavumbuzi yote ya wanasayansi kwa pamoja.
Kwa maelezo hayo unamaanisha kwamba hakuna maisha pasipo na dini? Kama ni hivyo basi dini ni jambo muhimu sana kwa mwanadamu.

Pia naomba unijuze maana ya neno dini huenda mimi naelewa tofauti
 
Nipe tofauti mkuu ili nisichanganye hayo mambo mawili
Dini/Religion- Way of life, belief and practices.

Mungu/Miungu- Supernatural being/power.

All religions have the potential to bring humanity peace of mind, Calmness, Compassion etc. Question is Where does your peace and gentleness come from? That is your religion.
 
Kwa maelezo hayo unamaanisha kwamba hakuna maisha pasipo na dini? Kama ni hivyo basi dini ni jambo muhimu sana kwa mwanadamu.

Pia naomba unijuze maana ya neno dini huenda mimi naelewa tofauti
Bob, siyo tu kwamba hakuna maisha nje ya dini.

Ni kwamba hakuna personality inayoitwa mwanadamu bila dini.

Naweza kusema pasi na shaka kwamba ndani ya zile herufi herufi kwenye DNA ya mwanadamu, ambazo wajenetikia hujivunia kama uvumbuzi wa karne, zichunguzwe upya kuna codes za dini humo.

I may sound almost fictitious, but I know I'm not wrong.
 
Dini/Religion- Way of life, belief and practices.

Mungu/Miungu- Supernatural being/power.

All religions have the potential to bring humanity peace of mind, Calmness, Compassion etc. Question is Where does your peace and gentleness come from? That is your religion.
Umetofautisha vyema kabisa, na vipi kuhusu sheria zilizomo ndani ya dini husika, je ni Mungu wao ndyo huzitoa au ni wao kwa utashi wao wenyewe?
 
Bob, siyo tu kwamba hakuna maisha nje ya dini.

Ni kwamba hakuna personality inayoitwa mwanadamu bila dini.

Naweza kusema pasi na shaka kwamba ndani ya zile herufi herufi kwenye DNA ya mwanadamu, ambazo wajenetikia hujivunia kama uvumbuzi wa karne, zichunguzwe upya kuna codes za dini humo.

I may sound almost fictitious, but I know I'm not wrong.
Mkuu nimekupata, inamaana ambao wanakataa uwepo au kukubaliana na dini bado hawana sifa za kuwa wanadamu?
 
Nimesoma na nimewaelewa, ila bado sijapata jibu la ingekuwa vipi maisha bia sheria na makatazo
Unajua kuna vitu automatically wala havihitaji mtu awekewe sheria au makatazo ndio ajue kwamba ni vibaya.

Akili ya binadamu yeyote tu bila hata kuambiwa automatically inajua kwamba kuna baadhi ya mambo hayapaswi kufanyika. Kama kuua, kubaka mtoto mchanga n.k

Otherwise huyo binadamu akili yake isiwe sawa.

Yani bila hata kuwekewa sheria akili yako tu itakwambia kwamba hapa sio sawa unachofanya.

Lakini kwa vile binadamu ni kiumbe complex sana na anaweza kubadilika muda wowote,

Sheria ni jambo la msingi sana ili binadamu huyu akitaka kubadilika ajue kwamba sheria itamwajibisha.
 
Mkuu nimekupata, inamaana ambao wanakataa uwepo au kukubaliana na dini bado hawana sifa za kuwa wanadamu?
Hao mie nawafananisha na akina Elon Musk wanaopania kuikimbia dunia na pia kukwepa kifo kibinadamu.

Huko ndiko kupigana na ukuta sasa au kukikimbia kivuli chako.

Ila si mbaya kujitutumua, kama ndiyo njia ambayo mtu amejichagulia.

Ila mwisho wa siku anarudi palepale kwenye kituo cha mwanzo alikoanzia safari.
 
Sheria ni jambo la msingi sana ili binadamu huyu akitaka kubadilika ajue kwamba sheria itamwajibisha.
Kwa maana hiyo sheria za dini pia zina umuhimu wake au sheria za mwanadamu tu zinatosha kutoa muongozo wa namna ya kuishi?
 
Bob, siyo tu kwamba hakuna maisha nje ya dini.

Ni kwamba hakuna personality inayoitwa mwanadamu bila dini.
Mimi sina dini wala imani ya aina yeyote ile.

Na ni mwanadamu.

Hivyo hii concept yako haina uhalisia wala ukweli.
Naweza kusema pasi na shaka kwamba ndani ya zile herufi herufi kwenye DNA ya mwanadamu, ambazo wajenetikia hujivunia kama uvumbuzi wa karne, zichunguzwe upya kuna codes za dini humo.

I may sound almost fictitious, but I know I'm not wrong.
 
Umetofautisha vyema kabisa, na vipi kuhusu sheria zilizomo ndani ya dini husika, je ni Mungu wao ndyo huzitoa au ni wao kwa utashi wao wenyewe?
Kila Mungu, Miungu lazima iwe na dini- way of living, practicing, believes.

Si kila dini lazima iwe inainvolve Mungu, zipo dini ambazo haziamini Mungu/super natural being mfano mzuri ni Buddhism.

Aliwahi kuulizwa His Holiness, the Dalai Lama kwenye series ya “Searching For God In America”

Do Buddhists believe in God?

Majibu yake yakawa haya hapa

"If “God” is Ultimate Truth, Ultimate Energy, Infinite Love, then yes Buddhists believe in God But If “God” is a supernatural creator being, then no Buddhists do not believe in God.
 
Mkuu lakini Buddhist si wanayo masanamu na wameyaweka ndani? Wanaomba na kutoa shukurani. Je ile sio Miungu yao?
 
Kwa maana hiyo sheria za dini pia zina umuhimu wake au sheria za mwanadamu tu zinatosha kutoa muongozo wa namna ya kuishi?
Kwanza sheria zote ni za kibinadamu. Ziwe za kidini au kiserikali zote zimetungwa na wanadamu.

Sheria za mwanadamu tu zinatosha kutoa muongozo wa namna ya kuishi.

Hizi sheria za dini ni nyongeza tu, hazina jipya zaidi ya kurudia sheria zilezile za mwanadamu ambazo automatically anazijua bila hata kuambiwa.

Mfano usiue, usiibe, usitamani mke wa mwingine. Hizi wala huhitaji dini ikwambie. Yani hata asiye na dini anajua automatic kwamba hapaswi kuua, kuiba au kutembea na mke wa mtu.

Kwa vile hata wewe binafsi hupendi ufanyiwe hivyo.
 
Mkuu ni vipi unathibitisha kwamba sheria za dini zimetungwa na mwanadamu?
 
Kwanza inabidi ukubali hakuna aliyewahi kukutana, kumuona au kuongea Na Mungu.
Mungu ni dhana iliyoanzishwa kipindi binadamu alipokuwa Hana maarifa ya Dunia imetoka wapi au kwanini Kuna uhai n.k
Kama kawaida watu wadini huwa Wana Mungu wa aina mbili, wa kwanza ni uyo ambae hajawahi kuonekana, Wala kuongea Wala kujitokeza, na wa pili ni yule wanaonekana kumfahamu sana, wanajua Hadi anavofanana, anapenda nini, hapendi nini kwa mfano hataki tule nguruwe, au tunywe bia, hataki tufanye mapenzi kabla ya ndoa, hataki tufanye kazi jumamosi na Sheria zake nyingine nyingi.
Mwisho wa siku hizi Sheria wanasema zimetoka kwa Mungu ambae hajawahi kuongea Wala kujitokeza au kuonekana.
In short Sheria zote za dini zimetungwa na binadamu mwenyewe na Wala sio Mungu.
Kimuktadha Mungu, hayupo, hakuna Mungu uko mawinguni au popote pale.
 
Back
Top Bottom