Ingekuwa vipi ulimwengu kama kusingekuwa na dini, dunia bila dhambi kipimo cha uovu nini?

Kungekuwa hakuna marginalization wala watu kupigika na shida (hence finding hope) wala dini zisingekuwepo...

In short the mass needs their Opium....
Vipi kuhusu sheria zilizopo katika dini, je hazina umuhimu katika maisha ya kawaida ya mwanadamu?
 
Kwa hiyo umekubali kwamba sheria za dini zilitungwa na wanadamu?
Kwa upande wa Sheria za dini ya Budha umesema imetungwa na binadamu. Vipi kuhusu sheria za dini nyingine? Nani alizitunga na lini?
 
Sawa, kwasababu Budha wao hawana Mungu hivyo lazima sheria watunge wenyewe.
Mwingine aliitwa Muhammad. Alizaliwa Macca,

Baada ya kuzidiwa kichapo na raia waliokataa sheria za dini yake alizotunga akakimbilia madina na kujificha kwenye mapango.

Alikuwa mwanadamu.
 
Ni wapi alisema yeye ndiye mtunzi wa sheria?
 
Binadamu kutambua mema na mabaya wala haitaji dini kulitambua hilo, dini ni mifumo iliyobuniwa tu na binadamu ,binadamu ndio mwanzilishi wa dini kama ilivyo binadamu alivyo mwanzilishi wa technology, ni sawa na useme ingekua vipi binadamu kuishi bila teknolojia?

Kamwe dini haijengi maadili bali malezi na makuzi ndio yanajenga maadili kwenye jamiii.
 
Sijui ingekuwaje, watu wanaoa watoto wa miaka 9.
Watu wangejilimbikizia wanawake 1000 na wengne kukosa.

Mila na tamaduni usizisahau ndizo zilisimamia wema na ubaya dini ikaja kuzifuta ndio saiv inaleta ndoa za jinsia 1 na haki sawa

Vipi kama ukiondoa dini na serikali na kuweka mila na tamadunimaisha yatakuwaje
 
Kabla ya hizi imani za kizungu, mababu zetu waliishi kwa nidhamu ya hali ya juu kwa kutumia imani zao za jadi.
Mababu zetu waliishi kwa mila zao lakini hazikukamilika kwa upande wa sheria na namna ya kuishi kwa utaratibu maalumu
 
Ni wapi alisema yeye ndiye mtunzi wa sheria?
Mwingine ni Yesu wa Nazareti, mtoto wa fundi seremala.

Huyu yeye, baada ya kuanza kufundisha sheria za dini yake ya ukristo aliyoianzisha, raia walikataa kabisa na kuamua kumpiga hadi kumtundika juu ya mti hadi kupoteza maisha.

Huyu nae alikuwa binadamu.
 
Mila na tamaduni usizisahau ndizo zilisimamia wema na ubaya dini ikaja kuzifuta ndio saiv inaleta ndoa za jinsia 1 na haki sawa

Vipi kama ukiondoa dini na serikali na kuweka mila na tamadunimaisha yatakuwaje
Sodoma na Gomora nchi nzima walikuwa wanaf**, manefili walitaka kuwaF malaila, unataka kusema dini ndio iliwafundisha hao au unaandika tu kutokea sebuleni kwa shemeji yako bila kushirikisha ubongo?
 
Binadamu kutambua mema na mabaya wala haitaji dini kulitambua hilo, dini ni mifumo iliyobuniwa tu na binadamu ,binadamu ndio mwanzilishi wa dini kama ilivyo binadamu alivyo mwanzilishi wa technology, ni sawa na useme ingekua vipi binadamu kuishi bila teknolojia?

Kamwe dini haijengi maadili bali malezi na makuzi ndio yanajenga maadili kwenye jamiii.
Malezi na maadili ni jambo muhimu sana, na katika sheria za dini kuna maelezo muhimu kuhusu maadili na malezi
 
Mwingine ni Yesu wa Nazareti, mtoto wa fundi seremala.

Huyu yeye, baada ya kuanza kufundisha sheria za dini yake ya ukristo aliyoianzisha, raia walikataa kabisa na kuamua kumpiga hadi kumtundika juu ya mti hadi kupoteza maisha.

Huyu nae alikuwa binadamu.
Kweli hao wote ni binadamu, lakini hakuna sehemu umethibitisha wao ndio watunzi wa sheria hizo
 
Malezi na maadili ni jambo muhimu sana, na katika sheria za dini kuna maelezo muhimu kuhusu maadili na malezi
Ukifuata vitabu vya dini 100% utajikuta umekua mbaguzi kwa watu wasio wa dini yako ,pamoja na dini kuwepo na mtu kuwa na dini inahitajika busara za malezi na makuzi kuishi na watu wasio wa dini yako njee kabisa ya dini.
 
Anaandika GEREMY BENTHAM baba wa furaha ( UTILITARIAN)

🔹 WATU HAWATENDI MEMA AU MABAYA KWA SABABU YA UWEPO AU KUTOKUWEPO KWA MUNGU AU DINI

🔹 HATA KAMA MUNGU ASINGEKUWEPO AU YUPO ILA HAJIHUSISHI NA MASUALA YA BINAADAM BADO WANGEKUWEPO WATENDA MEMA NA WATENDA MABAYA KAMA ILIVYO KWA SASA

🔹KUNA BAADH YA JAMII ZA KICHINA HAWAJUI LOLOTE KUHUSU MUNGU ILA WAMETENDA MEMA DUNIANI KWA KUGUNDUA TECHNOLOJIA ZA KUMSAIDIA BINAADAM KULIKO WENYE DINI WANSOKESHA KILA SIKU NA MAPAMBIO AU WANAOFAFIRI MPAKA SAUDI ARABIA KUMRUSHIA MAWE SHETANI NA KUZUNGUKA KALE KADUDE
 
Waumini wengi wa dini hawajui na hawaelewi vyema sheria zao, ndymaana unaona ubaguzi na migogoro.

Sheria zao zipo perfect, lakini wao wanakosa elimu na uelewa na kusababisha kutokuwa perfect katika matendo yao.
 
Anaandika GEREMY BENTHAM baba wa furaha ( UTILITARIAN)

🔹 WATU HAWATENDI MEMA AU MABAYA KWA SABABU YA UWEPO AU KUTOKUWEPO KWA MUNGU AU DINI

🔹 HATA KAMA MUNGU ASINGEKUWEPO AU YUPO ILA HAJIHUSISHI NA MASUALA YA BINAADAM BADO WANGEKUWEPO WATENDA MEMA NA WATENDA MABAYA KAMA ILIVYO KWA SASA

🔹KUNA BAADH YA JAMII ZA KICHINA HAWAJUI LOLOTE KUHUSU MUNGU ILA WAMETENDA MEMA DUNIANI KWA KUGUNDUA TECHNOLOJIA ZA KUMSAIDIA BINAADAM KULIKO WENYE DINI WANSOKESHA KILA SIKU NA MAPAMBIO AU WANAOFAFIRI MPAKA SAUDI ARABIA KUMRUSHIA MAWE SHETANI NA KUZUNGUKA KALE KADUDE
 
Kweli hao wote ni binadamu, lakini hakuna sehemu umethibitisha wao ndio watunzi wa sheria hizo
Sheria zinazaliwa ndani ya utashi wa watu tu , na kukubaliana kama wamoja kuziishi katika misingi ipi kwa pamoja , ili kuwa na uwiano mzuri wa maisha.
 
Back
Top Bottom