technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
- Thread starter
- #41
Nchi Ina Hali mbaya Sana kiutendaji Kama Kila mtu angekuwa na uwezo wa kuona kinachoendelea ndani Basi watu wangegawana fito ni huzuni SanaHili ni jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama kutusaidia kwa sababu kwa hali ilivyo, huyu mama siyo wa kuondoka mwenyewe japo amefeli kila kitu. li isionekana ni mapinduzi ya kijeshi, walimlie timing wakati wa kuchagua mgombea wa CCM wamwondoe kwa nguvu bila kushirikisha wajumbe wa mkutano. Waandae ripoti inayoonyesha madhambi yake yote na kuiwasilisha kwenye kamati ya kuteua mgombea wakati wa uteuzi. Wakati huo huo, yeye na wafuasi wake (ambao siyo wengi) wawekwe chini ya ulinzi mpaka mkutano utakamaliza kufanya uteuzi.