Haaa kumbe mjukuu unajua mengi ya humu, una miaka mingapi humu? Kwa kweli sisi wazee ni dawa๐wew umeshuhudia zama zote babu yangu,, umesingiziwa na kusuruhisha mambo humu JF,, nitawaandalia majoho yenu wew na babu Grahams maan bado mpo gado na hamtaki kubadili i'd ๐ค๐๐
Sio kweli wewe utakuwa unatumia. Vodasasa hivi haina haja ya VPN kaka jaribu kuhuisha (update) kwanza then ingia
Fanya umjaribu mzee, wa moto huyu sio poa!๐๐ tumuulize habari za @demis๐๐๐๐Mzee ana sound kama kijana wa miaka ya 90 ๐ anakuja ana kataa ๐
mimi ni mgeni babu ila napitiaga nyuzi,za zamani ili niokote ABC nisikae kizembe๐Haaa kumbe mjukuu unajua mengi ya humu, una miaka mingapi humu? Kwa kweli sisi wazee ni dawa๐
Unanipa wasiwasi mjukuu, huenda chupa ni mpya mvinyo wa zamani๐ ๐mimi ni mgeni babu ila napitiaga nyuzi,za zamani ili niokote ABC nisikae kizembe๐
si kweli babu yangu kipenzi,,,Unanipa wasiwasi mjukuu, huenda chupa ni mpya mvinyo wa zamani๐ ๐
Huenda ikawa kweli, ila sidhani. Kati yako, mkwepu jr na raraa reree nani zaidi?raraa reree ni I'd yangu ya zamani bwashee ๐ kaa kwa kutulia jf ni kichaka๐
Coming from an expert๐ ๐ ๐ Hata najua basi na win-one someni hii kwa vituoHumu ni kama chuo tu mabinti wanao one kana ni wapya huo wana changamkiwa na kila mtu , ila ukweli ni kwamba kuna mda wanachacha na wahuni wanazamia contena jipya , ushauri wangu ewe binti, usikubali bila kutoka bila faida yoyote endapo mkipatana , mimi ni mlevi tu mnisamehe bure tu๐ข
Bwashee wasome vitu vya mlevi na wao ni wazima?๐Coming from an expert๐ ๐ ๐ Hata najua basi na win-one someni hii kwa vituo
Ulevi ni zuga tu mangi, upo sober tena poa kabisa๐Bwashee wasome vitu vya mlevi na wao ni wazima?๐
Aseeeee mbona wewe ni senior citizen kwenye hichi kijiji acha kuwadanganya mavijanaaa ๐๐Tupo sana
Hebu tuoneFanya umjaribu mzee, wa moto huyu sio poa!๐๐ tumuulize habari za @demis๐๐๐๐
Bwashee nipo umatumbini tena bar ya nyumbani watu wanakunywa safari kwa mstari๐Ulevi ni zuga tu mangi, upo sober tena poa kabisa๐
Bwashee tulewe tu , naona wadada wa hapa washaanza ninunulia pombe baada ya kuona nawabania๐Ulevi ni zuga tu mangi, upo sober tena poa kabisa๐
Kwema kaka harakati zinasemajeVincenzo Jr bwashee unasemaje