Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Coming from an expert😅😅😅 Hata najua basi na win-one someni hii kwa vituo
nimemuelewa kwa herufi kubwa hii kitu naielewa mnoo,, kuna kipindi flani hivi member deshi deshi alitrend mnooo kila uzi alikua anatajwa,, wanaume walijimaliza sana 😅😅😅😅 sifa zilikua kedekede akipost vikucha tu like zilikua zinamwagika kama zote,,, ila saivi sijui imekuaje maskini😪 kapoteaaaa na hata akionekana sio kama mwanzo,, tuseme ndo mlimkinai au🤭😁😁😁,,,, kunao wengine pia kule selfika,, aah hebu nikae kimya
 
nimemuelewa kwa herufi kubwa hii kitu naielewa mnoo,, kuna kipindi flani hivi member deshi deshi alitrend mnooo kila uzi alikua anatajwa,, wanaume walijimaliza sana 😅😅😅😅 sifa zilikua kedekede akipost vikucha tu like zilikua zinamwagika kama zote,,, ila saivi sijui imekuaje maskini😪 kapotea7aaa na hata akionekana sio kama mwanzo,, tuseme ndo mlimkinai au🤭😁😁😁,,,, kunao wengine pia kule selfika,, aah hebu nikae kimya
min -me ni expert kwenye eneo hili amesema vizuri, unatemwa kama "bazoka"!!
 
Back
Top Bottom