Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Kilingeni moja mkuu
856f7ef6-cd6d-4a03-8344-61f87b135561.jpeg
 
Wewe unafikiri chini ya kitovu isingekuwepo members wa hayo majukwaa serious wangetoka wapi bwashee?😅
Vyote muhimu, na majukwaa yote ni muhimu, hata kipindi kile cha forums bado nyuzi za MUM ndo ziliongoza kutrend. Lakini tofauti ni kwamba, kipindi kile hata hizi forum zingine zilikuwa zina watembeleaji wengi pia, hivyo watu waliandika nyuzi sana huko .

ishu ni kuwa huu mfumo mpya umefanya forum za trending pekee ndo zitembelewe na zingine kupotea kabisa.
 
Kweli Bwashee
 
Back
Top Bottom