Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
Nakubali kiongoziSio MBA ya mkuu
Nakubali kiongoziSio MBA ya mkuu
correct?
Makapuku forums akina Bitoz na Jimena sio kipindi chako mkuu Mshana,hiki ni kipindi chetu sisi 2015 ndicho kipindi waanzilishi wa hizi nyuzi tulijiunga nao pamoja na tukawa tuna bifu sana na nyie wakongwe nakumbuka wewe ID yako ni ya 2012 au 2013..Kubwa zaidi enzi hizo wakongwe mlikuwa mnabagua sana mtu anaanzisha uzi nzuri anashusha nondo badala ya kuchangia kulingana na mada husika mnaitana mnakuja kuoiga story kwenye uzi wa watu..Kila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliwakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi
Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia chochote upate like
Nyakati zile zimepita na kutuachia kumbukumbuku mujarabu
Vp kuhusu haya maingizo mapya! Yana maajabu?😂
Nani ni nani kwenye nini?
Wataje/Mtaje ama
Was like/Mualike..💪🏿💥
Hata zile couple mpya pia💕View attachment 3568009
Jipya litakuaje kama haulileti wewe mkuuMakapuku forums akina Bitoz na Jimena sio kipindi chako mkuu Mshana,hiki ni kipindi chetu sisi 2015 ndicho kipindi waanzilishi wa hizi nyuzi tulijiunga nao pamoja na tukawa tuna bifu sana na nyie wakongwe nakumbuka wewe ID yako ni ya 2012 au 2013..Kubwa zaidi enzi hizo wakongwe mlikuwa mnabagua sana mtu anaanzisha uzi nzuri anashusha nondo badala ya kuchangia kulingana na mada husika mnaitana mnakuja kuoiga story kwenye uzi wa watu..
Kizazi cha 2015 to 2018 kulikuwa na nyuzi bora sana nadhani kuliko kipindi chote
Ikaja kizazi cha 2018 mpk 2021 hapa napo kulikuja na watu kama kina Exotrovert,Cocastic na wengine baadhi ya wengi walifanya vizuri
Ila kuanzia 2023 mpaka 2026 tumeshuhudia JF ya hovyo sana haina hata mvuto,hupati zile mada za Intelligence za kina The bold na zitto Junior tena,Celebrity forums kuna ishu nying zinatokea lakn hakuna update yoyote.
Mfano leo tunaongea kuna ishu ya Nikki wa pili,kuna ishu za kina Diamond na mambo kibao lkn jukwaani kuna mada zinafufuliwa za 2007 ukienda JF intelligence hakuna jipya..Jf its over
Yes sir!correct?
Hata x niliona wadai imeachiwaWangapi wamejaribu kufungua jf bila vpn waone inavyofunguka
pia watu wengi walijiunga 2015 kipindi kile cha harakati za lowasa kule ccm na chadema.Makapuku forums akina Bitoz na Jimena sio kipindi chako mkuu Mshana,hiki ni kipindi chetu sisi 2015 ndicho kipindi waanzilishi wa hizi nyuzi tulijiunga nao pamoja na tukawa tuna bifu sana na nyie wakongwe nakumbuka wewe ID yako ni ya 2012 au 2013..Kubwa zaidi enzi hizo wakongwe mlikuwa mnabagua sana mtu anaanzisha uzi nzuri anashusha nondo badala ya kuchangia kulingana na mada husika mnaitana mnakuja kuoiga story kwenye uzi wa watu..
Kizazi cha 2015 to 2018 kulikuwa na nyuzi bora sana nadhani kuliko kipindi chote
Ikaja kizazi cha 2018 mpk 2021 hapa napo kulikuja na watu kama kina Exotrovert,Cocastic na wengine baadhi ya wengi walifanya vizuri
Ila kuanzia 2023 mpaka 2026 tumeshuhudia JF ya hovyo sana haina hata mvuto,hupati zile mada za Intelligence za kina The bold na zitto Junior tena,Celebrity forums kuna ishu nying zinatokea lakn hakuna update yoyote.
Mfano leo tunaongea kuna ishu ya Nikki wa pili,kuna ishu za kina Diamond na mambo kibao lkn jukwaani kuna mada zinafufuliwa za 2007 ukienda JF intelligence hakuna jipya..Jf its over
Ngoja waje...
Makapuku forums akina Bitoz na Jimena sio kipindi chako mkuu Mshana,hiki ni kipindi chetu sisi 2015 ndicho kipindi waanzilishi wa hizi nyuzi tulijiunga nao pamoja na tukawa tuna bifu sana na nyie wakongwe nakumbuka wewe ID yako ni ya 2012 au 2013..Kubwa zaidi enzi hizo wakongwe mlikuwa mnabagua sana mtu anaanzisha uzi nzuri anashusha nondo badala ya kuchangia kulingana na mada husika mnaitana mnakuja kuoiga story kwenye uzi wa watu..
Kizazi cha 2015 to 2018 kulikuwa na nyuzi bora sana nadhani kuliko kipindi chote
Ikaja kizazi cha 2018 mpk 2021 hapa napo kulikuja na watu kama kina Exotrovert,Cocastic na wengine baadhi ya wengi walifanya vizuri
Ila kuanzia 2023 mpaka 2026 tumeshuhudia JF ya hovyo sana haina hata mvuto,hupati zile mada za Intelligence za kina The bold na zitto Junior tena,Celebrity forums kuna ishu nying zinatokea lakn hakuna update yoyote.
Mfano leo tunaongea kuna ishu ya Nikki wa pili,kuna ishu za kina Diamond na mambo kibao lkn jukwaani kuna mada zinafufuliwa za 2007 ukienda JF intelligence hakuna jipya..Jf its over
Ila kama unakumbuka Mimi ndio nilikuwa mlezi wa makapukuMakapuku forums akina Bitoz na Jimena sio kipindi chako mkuu Mshana,hiki ni kipindi chetu sisi 2015 ndicho kipindi waanzilishi wa hizi nyuzi tulijiunga nao pamoja na tukawa tuna bifu sana na nyie wakongwe nakumbuka wewe ID yako ni ya 2012 au 2013..Kubwa zaidi enzi hizo wakongwe mlikuwa mnabagua sana mtu anaanzisha uzi nzuri anashusha nondo badala ya kuchangia kulingana na mada husika mnaitana mnakuja kuoiga story kwenye uzi wa watu..
Kizazi cha 2015 to 2018 kulikuwa na nyuzi bora sana nadhani kuliko kipindi chote
Ikaja kizazi cha 2018 mpk 2021 hapa napo kulikuja na watu kama kina Exotrovert,Cocastic na wengine baadhi ya wengi walifanya vizuri
Ila kuanzia 2023 mpaka 2026 tumeshuhudia JF ya hovyo sana haina hata mvuto,hupati zile mada za Intelligence za kina The bold na zitto Junior tena,Celebrity forums kuna ishu nying zinatokea lakn hakuna update yoyote.
Mfano leo tunaongea kuna ishu ya Nikki wa pili,kuna ishu za kina Diamond na mambo kibao lkn jukwaani kuna mada zinafufuliwa za 2007 ukienda JF intelligence hakuna jipya..Jf its over
naogopa watampa TBT zangu,, ngoja kwanza akolee utamu ili asiambilike wala asishikike😅😅😅 akilala akiamka neno liwe win one 😅😅😅Mtajeee wanoko watengene mada😂
Kaeni nje kwanza tukimaliza mjadala tutawaitaSisi tuliojoin 2026 Tukae wapi?
Kabisa jamiiforums jamiiforums kila siku , nilikua na I'd ya 2012 mambo ya hovyo yalikuwepo tu , watu wamechakatana na kuumbuana vibaya sana , wanawadanganyeni tu 😅Nyie mnaolalamika imekua ya hovyo ni kwa sababu mlizoea kutafuniwa
Sasa watafunaji wengi saivi ni wazee wanaumwa sukari
tafasiri ya picha plzzz