min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Hahaha I'd yako huwa ina sound Hamble sana na mtu mwenye utulivu mkubwa wa akili bwasheeChanika stent ya mbagala....๐๐๐๐๐
Hahaha I'd yako huwa ina sound Hamble sana na mtu mwenye utulivu mkubwa wa akili bwasheeChanika stent ya mbagala....๐๐๐๐๐
hivi unaweza kumla mtu huku kumbe Evelyn SaltNajua sana tena Jamii forum ya kipindi cha nyuma ilikua ya hovyo yenye majungu na kudhalilishana
Kuna watu walijivika u special saiv wamekutana na Gz wanawapuuza wanaanza malalamiko๐๐
Humu je ?X mpaka vpn, nime ingia muda si mrefu.
Mods wa kulaumiwa.Nini kimefanya sasa hivi hakuna nyuzi za moto bwashee? Na nani wa kulaumiwa?
numbisa alikuwa ameweka avatar flan kila nkiona natamani nimle huyo numbisa akaja kuitoa NumbisaNakumbuka kipindi kile
Kuna jukwaa la chit chat daaah kuna yule Money Penny alikua anasema ana biashara ya mapapai sijui alikua na maana gani ๐๐๐๐๐
Enzi hizo kuna Numbisa kwenye uzi wa cheka aiseee hatareee sana sana.
Kuna uzi.mmoja hvi wa mdada ana hadithia alivyopanda mlima Kilimanjaro daaah ule uzi hapana aiseeee
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Hapo uliposema utulivu wa akili ni kama una amua kunitusi hadharani ๐๐๐๐Hahaha I'd yako huwa ina sound Hamble sana na mtu mwenye utulivu mkubwa wa akili bwashee
Ukorofiiiiii ๐๐๐๐๐๐numbisa alikuwa ameweka id flan kika nkiona natamani nimle huyo numbisa akaja kuitoa Numbisa
Ni ujinga ujinga au wewe ndio umezeeka tu bwashee?๐Mods wa kulaumiwa.
Tangu walipobadilisha front page kuwa trending instead of forums ndo ikawa mwanzobwa downfall.
Maana Kwa bahati mbaya jamii zetu za kibongo ujinga ujinga ndo unatrend, kwhy rate ya watu kuanzisha nyuz za maana ikaporomoka maana hazitrend na hazipati muitikio.
Daaaah yani sio mda na mimi nitapotea aiseeee ๐๐๐๐nlikuwa ushagoo (mashambani) mkuu
Kidogo nakipaji cha kusoma mtu hata ukificha, naweza shusha sifa za kila members humu ukashangaa๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Hapo uliposema utulivu wa akili ni kama una amua kunitusi hadharani ๐๐๐๐
Mbamizwa kobaa hujambo kijana ???Ukorofiiiiii ๐๐๐๐๐๐
Mkuu ukapotea
Basi unazeeka vizuriUkizeeka lazima ulalamike mara chakula kina chumvi nyingi,mara mabinti wa siku hizi ๐ japo nimezeeka na pia nalalamika ila nalijua tatizo la msingi๐