Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Kabisa jamiiforums jamiiforums kila siku , nilikua na I'd ya 2012 mambo ya hovyo yalikuwepo tu , watu wamechakatana na kuumbuana vibaya sana , wanawadanganyeni tu 😅
Najua sana tena Jamii forum ya kipindi cha nyuma ilikua ya hovyo yenye majungu na kudhalilishana
Kuna watu walijivika u special saiv wamekutana na Gz wanawapuuza wanaanza malalamiko😀😀
 
Jipya litakuaje kama haulileti wewe mkuu
Bwashee huwa Nakuona sana unajitahidi kuwaelekeza hawa wanaolalamika kupotea kwa jf

Inabidi waelewe kuwa jf inatengenezwa na members na members wenyewe ndiyo sisi

Ukisema hakuna anayeleta vibe au cha maana leta wewe tukuunge mkono

Na sio unabaki kulalamika wakati we mwenyewe hutoi mchango
 
Just imagine mtu anataka akute kaanzishiwa uzi anao utaka yeye
Sasa si uanzishe mwenyewe uone kama watu hawachangii🤝
 
Bwashee huwa Nakuona sana unajitahidi kuwaelekeza hawa wanaolalamika kupotea kwa jf

Inabidi waelewe kuwa jf inatengenezwa na members na members wenyewe ndiyo sisi

Ukisema hakuna anayeleta vibe au cha maana leta wewe tukuunge mkono

Na sio unabaki kulalamika wakati we mwenyewe hutoi mchango
Na wanaoleta hicho cha maana kamwe hauwezi kuta wanalalamika , wanaolalamika ni wale wale walizoea kutafuniwa tu
 
Najua sana tena Jamii forum ya kipindi cha nyuma ilikua ya hovyo yenye majungu na kudhalilishana
Kuna watu walijivika u special saiv wamekutana na Gz wanawapuuza wanaanza malalamiko😀😀
Ukizeeka lazima ulalamike mara chakula kina chumvi nyingi,mara mabinti wa siku hizi 😅 japo nimezeeka na pia nalalamika ila nalijua tatizo la msingi😄
 
Nakumbuka kipindi kile
Kuna jukwaa la chit chat daaah kuna yule Money Penny alikua anasema ana biashara ya mapapai sijui alikua na maana gani 😂😂😂😂😂

Enzi hizo kuna Numbisa kwenye uzi wa cheka aiseee hatareee sana sana.

Kuna uzi.mmoja hvi wa mdada ana hadithia alivyopanda mlima Kilimanjaro daaah ule uzi hapana aiseeee
 
Back
Top Bottom