Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Duuuh bohora kama bohora 😆😂Kabisa bwashee, nikanunue li bohara limoja likubwa😊
Duuuh bohora kama bohora 😆😂Kabisa bwashee, nikanunue li bohara limoja likubwa😊
Huwa na mimi nalalamika , ila nikitulia naona no ujinga ujinga tu kwa sababu mimi pia ni sehemu ya jf kama mdauBasi unazeeka vizuri
Hakunaaaaaa🏃♂️🏃♂️🏃♂️🤣🤣🤣Wataje
Ndio bwashee 😅Duuuh bohora kama bohora 😆😂
Ah Mimi mbn genZ. Type shit.🤣Ni ujinga ujinga au wewe ndio umezeeka tu bwashee?😄
Akili mingi🤝Huwa na mimi nalalamika , ila nikitulia naona no ujinga ujinga tu kwa sababu mimi pia ni sehemu ya jf kama mdau
Unataka kumla nani?😀hivi unaweza kumla mtu huku kumbe Evelyn Salt
Wewe unafikiri chini ya kitovu isingekuwepo members wa hayo majukwaa serious wangetoka wapi bwashee?😅Ah Mimi mbn genZ. Type shit.🤣
ila sasa ukiangalia tokea wafanye hivyo, forumz zote zimepotea zikabaki hizi 3 tu. Ambazo ni za udaku na mapenzi.
1. MUM
2. Habari na hoja
3. Jukwaa la siasa.
Majukwaa yote ya serious hayana ishu skuizi
Kidogo nakipaji cha kusoma mtu hata ukificha, naweza shusha sifa za kila members humu ukashangaa😁
Hili jina kuna uzi nimekustaki ila wameufuta mkuuu..Mbamizwa kobaa hujambo kijana ???
Sio kuteseka bwashee , wewe ni muwekezaji mbona😁View attachment 3568070
Mkuu nateseka huku acha kabisa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Ebu soma hizo namba tufanye arithmetic progression tuweze kujua namba inayofuata
Upate bohora na supu ya kichwa Cha ngombeNdio bwashee 😅
Upigane na nani ??? Are you ok ??Hili jina kuna uzi nimekustaki ila wameufuta mkuuu..
Nimepanga nikutafute tukutane live tupigane
Nakumbuka sana Dad😁Daughter unaikumbuka ishu ya juzi!?😂
Yesuu, weka na mbupu za mbuzi bwashee 😋 Evelyn SaltUpate bohora na supu ya kichwa Cha ngombe
Napigwa huku kila leoSio kuteseka bwashee , wewe ni muwekezaji mbona😁
Mshangazi wako ameku alika pasaka?