Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Wewe jamaa ujitambui ๐๐๐๐Unapenda kubamiza !!!!! Why you
Wewe jamaa ujitambui ๐๐๐๐Unapenda kubamiza !!!!! Why you
Humu jamvini kuna wakongwe na mala nyingi wakipata nafasi hua wana fungua uzi mbali mbali na sioni wakilalamika
@my dear father Mshana Jr kaka angu Robert Heriel Mtibeli kuna huyu babu yangu Na yeye anaenda sawa na vijana wa awamu ya sita Iceberg9
Na wengine wengi leo mimi nawapa shavu hawa ๐ซก๐ซก
Dear sister Binti wa zamani
Aseeh wazee walitufunza mengi bhn, kumbukizi matataZipo kama pancake ๐ฅ ladha yake๐
Najitambua ndiyo maana nakulipia kodiWewe jamaa ujitambui ๐๐๐๐
Ila ka hata najua basi nilikuona selfika ka mashavu fulani kadogo mno vya zamani ulivijuaje ๐Bhana wanazeeka vibaya ๐๐ ila naogopa๐ฅน๐ฅน
๐๐๐Bhana wanazeeka vibaya ๐๐ ila naogopa๐ฅน๐ฅน
Muhimu tusisahau mgombani tunatakiwa turudi na nini , halafu iwe kimya kimya bwashee, no matarumbeta๐ ๐ ๐Aseeh wazee walitufunza mengi bhn, kumbukizi matata
Wewe jamaa ujitambui ๐๐Unapenda kubamiza !!!!! Why you
Mkuu acha kabisa.... One day yesHapo uchague mwenyewe ,kutokuwa na matarajio yoyote, au uwe na matarajio siku moja unaweza shinda๐
HongeraAkili mingi๐ค
Naelewa bruh ๐Muhimu tusisahau mgombani tunatakiwa turudi na nini , halafu iwe kimya kimya bwashee, no matarumbeta๐ ๐ ๐
Hizo ndio sifa za kiume , ulishawahi daiwa zaidi ya milioni 50 na hauna namna ya kulipa?Mkuu acha kabisa.... One day yes
Unajua kiufupi nasomesha katoto ka muhindi kale ka mwisho.
Kila siku nakapa pesa ya mayai na maziwa na bado ada nalipa ๐๐๐๐๐๐
Tulewe tu bwashee , karibu vodka hapa tujicheulishe vya pasaka ๐คNaelewa bruh ๐
Nanjilinji bado tuna tumia vpnHumu je ?
Najitambua ndiyo maana nakulipia kodi
Nipo napiga lite toka mchana ๐๐ kesho ntajiburuza mpk nje maake sina bafu la ndani ๐Tulewe tu bwashee , karibu vodka hapa tujicheulishe vya pasaka ๐ค
Poleni bwashee ๐ karibu vodka hapaNanjilinji bado tuna tumia vpn
Unafeli wapi bwashee ๐Nipo napiga lite toka mchana ๐๐ kesho ntajiburuza mpk nje maake sina bafu la ndani ๐