Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Nilianza kutumia mitandao before ya kumiliki simu 😁😁

Mama alikua Mkoloni hataki tutumie simu mie nikajiunga FB kupitia Internet cafe nilikua kama na miaka 13 au 14 naenda zako unalipa una peruzi hela ikiisha mda uliolipia una log out basii kesho tena ila utukutu🙌

JF nilijiunga kipindi cha mwenda zake kipindi alibatizwa jina la Jiwe
Watu humu walikua wakianzisha nyuzi kwa kode 🙌 unasoma weee huambulii kitu mpka aje mdau afungue code kidogo na kipindi hicho nilikua napitia Google na search na soma sikua na account

Ila umefanya nimejielezea sana na hata hivyo sina utoto huo baado myaka nichache nafika myaka 30
Upo sawa kabisa kujieleza hakuna shida kabisa , mimi huwa nikilewa vizuri najieleza sana halafu wala siwazi🤗
 
Half time
90f41988-688d-4c98-802d-a8864b403d56.jpeg
 
Back
Top Bottom