min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
.
Off target ya kibabe sana😅
Off target ya kibabe sana😅
Hivi una habari za azam complex ?
Nipo ndg yangu, nipo zangu geto nalinda nyeti zanguAnayejua alipo Vishu Mtata mwiteni huku...
Au tayari washampangusa 😂😂😂🙌🙌🙌
Biashara ya chenji inalipa balaaBiashara zinaendaje..?
Unataka kumvuta alie mbali?😂😂😂 Uwiii.
niweke tu kopa kopa sasa 💃 nipo mikono swalama😍With me😀 you are fully protected 💪🏿💥😂
😂😂😂😂😂😂 Star wa vingunguti..Nipo ndg yangu, nipo zangu geto nalinda nyeti zangu
Humu jamvini kuna wakongwe na mala nyingi wakipata nafasi hua wana fungua uzi mbali mbali na sioni wakilalamika
@my dear father Mshana Jr kaka angu Robert Heriel Mtibeli kuna huyu babu yangu Na yeye anaenda sawa na vijana wa awamu ya sita Iceberg9
Na wengine wengi leo mimi nawapa shavu hawa 🫡🫡
Dear sister Binti wa zamani
Kuzeeka ?😁 wewe bado ni kakijana kadogo bwasheeAhsante Sana. Mimi sasa ninaelekea kuzeeka. Lakini bado wazee wa humu wananiambia niendelee kusongesha kusaidia ingizo jipya.
Kuna vijana nawaona wanakuja vizuri sana.
Napenda vijana wanaoandika vitu virefu vyenye maana.
Sipendi baadhi ya watu wanaowazuia vijana kufaisi ujana wao kujadili mambo ya hovyo(ya ujana) sio muda wote wawe serious
Kwa andiko hili ni dhahiri bado una nguvu kaka hongera endelea kua nasi tuna appreciate uwepo wako humu japo some time tunakinzana mitazamoAhsante Sana. Mimi sasa ninaelekea kuzeeka. Lakini bado wazee wa humu wananiambia niendelee kusongesha kusaidia ingizo jipya.
Kuna vijana nawaona wanakuja vizuri sana.
Napenda vijana wanaoandika vitu virefu vyenye maana.
Sipendi baadhi ya watu wanaowazuia vijana kufaisi ujana wao kujadili mambo ya hovyo(ya ujana) sio muda wote wawe serious
Kwa hiyo bwashee mpaka siku utakufa na Figo zako nzima hauta onja pombe kabisa🤔Bwashee vodka situmii, ngoja nisake ugali tu.
Walevi tuna akili sna ndio maana nikiwa kwenye uzi wako siwazi😄Haikwepeki.. Off target zimekuwa za kawaida sass😂
Watambue Kila nabii na zama zakeJamii forum ipo vizuri mpaka sasa , hiyo ya zamani na sasa ni sawa tu, unakuta mtu analalamika ya zamani ilikua nzuri na nyuzi za moto , as if yeye alisha kufa asishushe hizo nyuzi za moto.
Kama jf kuwa na nyuzi za hovyo wote ni sababu ya kuwa hivyo hakuna wakutupia lawama