Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Kila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliwakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi
Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia chochote upate like

Nyakati zile zimepita na kutuachia kumbukumbuku mujarabu
Vp kuhusu haya maingizo mapya! Yana maajabu?😂
Nani ni nani kwenye nini?

Wataje/Mtaje ama
Was like/Mualike..💪🏿💥
Hata zile couple mpya pia💕View attachment 3568009
Pembe za huyu ng'ombe ni dawa ya mapenzi, ukizipata ukapeleka kwa babu pamoja na picha ya umtakae....aseee ngoja niishie hapa
 
Pembe za huyu ng'ombe ni dawa ya mapenzi, ukizitapa ukapeleka kwa babu pamoja na picha ya umtakae....aseee ngoja niishie hapa
Pembe za huyu ng'ombe ni dawa ya mapenzi, ukizitapa ukapeleka kwa babu pamoja na picha ya umtakae....aseee ngoja niishie hapa
b2ae5b48-99a8-4f4c-bfc7-1de0c78f0f60.jpeg
 
Kila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliwakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi
Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia chochote upate like

Nyakati zile zimepita na kutuachia kumbukumbuku mujarabu
Vp kuhusu haya maingizo mapya! Yana maajabu?😂
Nani ni nani kwenye nini?

Wataje/Mtaje ama
Was like/Mualike..💪🏿💥
Hata zile couple mpya pia💕View attachment 3568009
Makapuku forums akina Bitoz na Jimena sio kipindi chako mkuu Mshana,hiki ni kipindi chetu sisi 2015 ndicho kipindi waanzilishi wa hizi nyuzi tulijiunga nao pamoja na tukawa tuna bifu sana na nyie wakongwe nakumbuka wewe ID yako ni ya 2012 au 2013..Kubwa zaidi enzi hizo wakongwe mlikuwa mnabagua sana mtu anaanzisha uzi nzuri anashusha nondo badala ya kuchangia kulingana na mada husika mnaitana mnakuja kuoiga story kwenye uzi wa watu..

Kizazi cha 2015 to 2018 kulikuwa na nyuzi bora sana nadhani kuliko kipindi chote

Ikaja kizazi cha 2018 mpk 2021 hapa napo kulikuja na watu kama kina Exotrovert,Cocastic na wengine baadhi ya wengi walifanya vizuri
Ila kuanzia 2023 mpaka 2026 tumeshuhudia JF ya hovyo sana haina hata mvuto,hupati zile mada za Intelligence za kina The bold na zitto Junior tena,Celebrity forums kuna ishu nying zinatokea lakn hakuna update yoyote.

Mfano leo tunaongea kuna ishu ya Nikki wa pili,kuna ishu za kina Diamond na mambo kibao lkn jukwaani kuna mada zinafufuliwa za 2007 ukienda JF intelligence hakuna jipya..Jf its over
 
Back
Top Bottom