ππβοΈIna kazi yake hiyo kakaView attachment 3568757
MALCOM LUMUMBA yupo kuna mahali nimemuonaMALCOM LUMUMBA bro Fisadikuu kapotelea wapi??
Jukwaa la intelligence yupo sana. Ila Fisadikuu sijamuona mudaMALCOM LUMUMBA yupo kuna mahali nimemuona
Wabilah Taofiq!!!KuuuumbeeeView attachment 3568467
Mgeni jinsia yako πAwee! Kwa sasa natamba mimi.
mbona jinsiaπ π π au unataka kujiwahi kabla haijapata ukurutuMgeni jinsia yako π
huu muandiko sio mgeni humu,, labda kwa wageni wa JFπ π π ,,, Karibu mwaya mimi ndo mpokea wageniAwee! Kwa sasa natamba mimi.
Jibu lake litasaidia kujua ni Mgeni au Mgeni mwenyeji π tumpokee vizurimbona jinsiaπ π π au unataka kujiwahi kabla haijapata ukurutu
We nae unataka kua kama wale watabiri πββοΈhuu muandiko sio mgeni humu,, labda kwa wageni wa JFπ π π ,,, Karibu mwaya mimi ndo mpokea wageni
Mie niko salama sijasombwa na mafuriko vp wewe umenusulika ?πππ