Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

hujabahatika wa kuoa humu miaka yote hii legend😁😁
Nilikua nawaoa humu tu mkuu
20250901_224508.jpg
 
JF imebadirika sana.
Siku hizi naona kama imepoa.

ENzi najiunga kila jukwaa ni pamoto

Jukwaa la dini unakuta kuna msabato "mitale na midimu " wanabishana na mkatoriki " otoron'gon'go.

Jukwaa la MMU
Kwa mto pia ukikaa vibaya unapigwa

Mara akaja Ontario, na ishu zake za kilimo , huku " Biashara ambayo mabenki hawataki uijue"
f0af8ffc-a20a-4842-aea2-c24b27239044.jpeg
 
Back
Top Bottom