Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Husikii..MENEMENE TEKERI NA PERESI
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Vipi usalama upo hujashikwa bega huko🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Husikii..MENEMENE TEKERI NA PERESI
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Vipi usalama upo hujashikwa bega huko🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Mama mkwe ,hasikii nini bwana ? 😀Husikii..
Sijajua ila wazazi uona mbali ,sasa tusemeje maana ,katazo la kikubwa hilo "HUSIKII"😀
Ahaa nimeelewa saafi👍Sijajua ila wazazi uona mbali ,sasa tusemeje maana ,katazo la kikubwa hilo "HUSIKII"😀
Kwako pia aise hivi bado inaendelea enhe?Kheri ya pasaka 🥂
Ndio leo ni Juma 3 ya pasakaKwako pia aise hivi bado inaendelea enhe?
Kuna bill imetumika huko ?Ndio leo ni Juma 3 ya pasaka
Unataka kulipa bills 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Namwambia akaoshe vyombo ndio achati😁Mama mkwe ,hasikii nini bwana ? 😀
NdioKuna bill imetumika huko ?
Uwe makini hachelewi kukushushia mitusi kwa ID nyingine ili kufidia mateso.Kumbeee😅
Huwezi kukosha vyombo bwanaNdio
Hivi upo tayali nioshe vyombo 🥹
Mh sio kweli nimeona mama mkwe ,haya mambo haya 🤭Namwambia akaoshe vyombo ndio achati😁
nakuombea mrembo wa yesu usijali😊Mchungaji please niombee
Mama ataleta sadaka J2
hujabahatika wa kuoa humu miaka yote hii legend😁😁Kwa kweli tupewe😄😄😄
kondoo mtata wewe kazi sana kukurudisha kwa Bwana 😁Mchungaji miyeyusho ww
msiwape nguvu zenu wanawake msimame kiume😂😂Hizo nguvu tunazo basi Mzee mwenzangu