ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Unanisngizia yu mjukuu!Nyooooko!👌🏽😃
Unanisngizia yu mjukuu!Nyooooko!👌🏽😃
Hapo ndio nawashangaa!!Hizo nguvu tunazo basi Mzee mwenzangu
Ndio maana nikamwambia babu wajitahidi ku tu protect basi sisi wajukuu 😂🥹Umenikumbusha kuna mshenzi humu anapanda sukari kila akiniona analipuka kama kichaa, kisa kibabu chake hawajamalizana vizuri huko sijui hawaaminiani🫢
Abdala kichwa wazi yeye huwa hatanii binti yangu😂Ndio Dad
mwenyewe nashangaa wakati ushabakiza pumzi ya kuvutia kiko tu😂😂😂😂Hizo nguvu tunazo basi Mzee mwenzangu
Unajitakatisha sio😅 fongokaaa ingizo jipya tukuepuke🤸🏽♀️😆Unanisngizia yu mjukuu!
Mie mumenilea vizuri baasi tu kijicho 😂😂Abdala kichwa wazi yeye huwa hatanii binti yangu😂
naona unajizima dataKwamba kunakuwaga na migongano?😅
Hahaha babu anataka kuonja za kila namna, ujanani hakucheza vizuri sasa anataka zenye mnofu,kavu,mifupa mitupu, mpaka zenye ulimi ndio atachoka😅Ndio maana nikamwambia babu wajitahidi ku tu protect basi sisi wajukuu 😂🥹
Utakufa na utamu wako weweMie mumenilea vizuri baasi tu kijicho 😂😂
Hawakumaliza ujana wanazeekaHahaha babu anataka kuonja za kila namna, ujanani hakucheza vizuri sasa anataka zenye mnofu,kavu,mifupa mitupu, mpaka zenye ulimi ndio atachoka😅
Zenye nini?Hahaha babu anataka kuonja za kila namna, ujanani hakucheza vizuri sasa anataka zenye mnofu,kavu,mifupa mitupu, mpaka zenye ulimi ndio atachoka😅
Patelea mbali😂😂Utakufa na utamu wako wewe
Enjoy 😉Patelea mbali😂😂
SaafiEnjoy 😉
Nipo mama la mama ,sema neno nipate appetite ya kutoka mochwari nikale nyama na kakonyagi kadogo .MENEMENE TEKERI NA PERESI
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Vipi usalama upo hujashikwa bega huko🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kheri ya pasaka 🥂Nipo mama la mama ,sema neno nipate appetite ya kutoka mochwari nikale nyama na kakonyagi kadogo .
Mkuu Mshana Jr heshima yako baba mkwe .
Babu naye apewe 😁😁Sijawahi kukagua mjukuu yoyote humu, wazee tunasingiziwa mengi. 😀