ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Hizi dawa nazotumia zinanipa usahaulifu mjukuu😁naona unajizima data
aaah nimesahau babu yangu una tatizo la kupoteza kumbukumbu sababu ya umri😂😂
Hizi dawa nazotumia zinanipa usahaulifu mjukuu😁naona unajizima data
aaah nimesahau babu yangu una tatizo la kupoteza kumbukumbu sababu ya umri😂😂
naelewa babu,, poleee ila nachoshukuru hizo dawa hazija kufanya unisahau🤭😅Hizi dawa nazotumia zinanipa usahaulifu mjukuu😁
Hahahah asije akawashwa!Uwe makini hachelewi kukushushia mitusi kwa ID nyingine ili kufidia mateso.
Hhahaaaa bora mshikwe mabega tu🤸🏽♀️Mh sio kweli nimeona mama mkwe ,haya mambo haya 🤭
Tududu tunaharibu mambo mengi sana hapa chini ya jua aisee
Ntakushika bega mtumishi 😅kondoo mtata wewe kazi sana kukurudisha kwa Bwana 😁
Anhaa ,waongo waleHhahaaaa bora mshikwe mabega tu🤸🏽♀️
Ngoja tuone mwisho wao😅Anhaa ,waongo wale
Unajua nimefanya tafti wote wanaosemq wameibiwa tududu ukiwacheki wana vitambi vikubwa nahisi kama wenye vibamia wameamua kujificha hukoNgoja tuone mwisho wao😅
Hahahahaaa ila mkweeee, inaonekana humu kuna mema ya nchi mnajilia wenyewe sio? wengine hatujapewa jicho la tatu tuweze kujionea ududu wa humu😂Unajua nimefanya tafti wote wanaosemq wameibiwa tududu ukiwacheki wana vitambi vikubwa nahisi kama wenye vibamia wameamua kujificha huko
🏃♂️🏃♂️Hahahahaaa ila mkweeee, inaonekana humu kuna mema ya nchi mnajikia wenyewe sio? wengine hatujapewa jicho la tatu tuweze kujionea ududu wa humu😂
😅😅😅😅noma!!naelewa babu,, poleee ila nachoshukuru hizo dawa hazija kufanya unisahau🤭😅
Bwahahah, msiwe mnapeana peke yenu, sisi tunakuwa watizamaji bila vinywaji!😅🏃♂️🏃♂️
Alishindwa kuhimili mtoto wa tandale akasema AWEEE SIMBA DANGOTE .
utaniuwa mimi leo umenivunja mbavu haswa ,ila kula raha mkwe ikiwa muda .
Hii vita ya wavaa buti je ina mwisho mwema au kuna kuitana parade kusutana ?
Astghafirullah umetoka bongo auBwahahah, msiwe mnapeana peke yenu, sisi tunakuwa watizamaji bila vinywaji!😅
Mimi leo sitoki online, nijue mbivu na mbichi😃
Natamani muanzisha mada aifute mada alafu wachangiaji wote wapotee ila ndiyo vile haiwezekani yaani tumbo joto ,kila muda notification inakuja Seran nasema alhadulilah ila mh sijui .Bwahahah, msiwe mnapeana peke yenu, sisi tunakuwa watizamaji bila vinywaji!😅
Mimi leo sitoki online, nijue mbivu na mbichi😃
Unamuweza Luznat wewe 😅?.Hahahah asije akawashwa!
Hahahahhaah isifutwe bwana wengine tuko idle! Una majanga gani mkwe kwanini pressure juu juu hivi mkwe?😅Natamani muanzisha mada aifute mada alafu wachangiaji wote wapotee ila ndiyo vile haiwezekani yaani tumbo joto ,kila muda notification inakuja Seran nasema alhadulilah ila mh sijui .
Kikubwa kapresha kangu nimepima kako sawa wacha niendelee kuhimili ila jua napumulia mipira mwenzenu yamenifika hapa .😀
Kwanini una presha?Natamani muanzisha mada aifute mada alafu wachangiaji wote wapotee ila ndiyo vile haiwezekani yaani tumbo joto ,kila muda notification inakuja Seran nasema alhadulilah ila mh sijui .
Kikubwa kapresha kangu nimepima kako sawa wacha niendelee kuhimili ila jua napumulia mipira mwenzenu yamenifika hapa .😀
Tutawezana tu kwani kawa mungu?😅Unamuweza Luznat wewe 😅?.
Bangi zake anavuta na Amoxicillin.
Luzi mmoja == Gentamycine 5