Kama umeshindwa kumuelewa huyu jamaa alichokisema kuhusu hiyo miaka basi una kila sababu ya kumpinga.Hivi wewe una akili kweli?,Iniesta kazaliwa 1984 ana miaka 32,na Gaucho kazaliwa 1980 na ana miaka 36,fuatilia historia zao mzee
Mjomba point yangu umeielewa!?Namshangaa
Mkuu tumia akili bc ...ndani ya miaka 28 hiyo ya gaucho kucheza soka ...hata iniesta acheze mpka atimize 70 hawezi kufikia kiwango cha gaucho hata cku mojaMjomba point yangu umeielewa!?
Gaucho mpira ulimuisha alivyokuwa na miaka 28 mpk akafukuzwa Barcelona
Hivi wewe una akili kweli?,Iniesta kazaliwa 1984 ana miaka 32,na Gaucho kazaliwa 1980 na ana miaka 36,fuatilia historia zao mzee
Mjomba point yangu umeielewa!?
Gaucho mpira ulimuisha alivyokuwa na miaka 28 mpk akafukuzwa Barcelona
Kama umeshindwa kumuelewa huyu jamaa alichokisema kuhusu hiyo miaka basi una kila sababu ya kumpinga.
Embu kaa chini na utafakari alichosema.
Mimi ni shabiki, kama tunazungumzia suala la kupaka mpira rangi basi Gaucho ni noma ila kwa soka la ushindani Iniesta ni mashine.Gang Chomba kawaleta watoto wake wasumbue humu,hata umri wenyewe wakufukuzwa Barca hawajui teh teh teh teh teh hatari aisee,
Messi ni mcheza mzuri lakini kiwango chake hakijafikia kile cha Gaucho na wala hakitafikia. Huo ndiyo ukweli wa mambo.
Kashata baba yako na mama yako.
We jombaa jibu hoja acha matusi wewe,wamekukosea nini wazazi wake hadi uwatusi? Kuwa mstaarabu basii, hapa sio fesbook bwana mdogo.naona povu limekutoka.
INVISIBLE mpigeni ban huyu BAK, ili siku ingine ajifunze.
Kashata baba yako na mama yako.
We jombaa jibu hoja acha matusi wewe,wamekukosea nini wazazi wake hadi uwatusi? Kuwa mstaarabu basii, hapa sio fesbook bwana mdogo.naona povu limekutoka.
INVISIBLE mpigeni ban huyu BAK, ili siku ingine ajifunze.
Acha ujinga wewe nani alianza kurusha matusi!?
Sina cha kujifunza chochote toka kwako, akili yako finyu siihitaji hata chembe.
Uliposema madrid tu basi tehKizuri hakidum, gaucho alikuwa km a ball dancer uwanjani pia alikuwa playmaker, na alikuwa goal gater tena Yale magoli adhim, mi ni arsenal na madrid lkn gaucho alikuwa sayar nyingine
Mods mpeni ban mleta uzi huu... hawezi kumdharau Gaucho kihasi hiki.
Anamfananisha na vitu vya kipuuzi hiv!!!!!