Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

sio iniesta tu hata messi hamfikii gaucho,gaucho habari ingine,anaburudisha na kusaidia timu

πŸ™ Messi? Watoto mnasumbua mno jf... Weka rekodi za Gaucho na mimi nitaweka za mfalme..gaucho hajafikia hata theluthi yake...nasema hivi..Messi hana mpinzani na haitatokea kwa mchezaji yeyote kuvunja rekodi zake huyu kiumbe, labda baada ya miaka 200,na hapo hatutokuwepo tena duniani....
 
Kama tunazungumzia mbwembwe na udambwidambwi uwanjani basi DUNIANI BADO HAJATOKEA KAMA GAUCHO.

Ila kwa Juhudi na Kucheza mpira wa Kazi, Gaucho ni wa kawaida tu.
 

Gaucho ni fundi wa ajabu

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Hii video tumeshachoka kuitazama ,Gang kaileta humu,wewe umeileta na wengine pia,na hapo ndipo mmeshaonyesha dhahiri udhaifu wake..maana hakuna tena clip ingine ya maana,nimemcheki live, na pia mimi ni hodari sana wa kufuatilia youtube yani hana lolote zaidi ya kutisha mabeki tu, the fact is that iniesta ni habari ya mjini kijana wangu.
 
We jamaa....Usimfananishe Gaucho na vitu vya ajabu!!!!
 
Swali jepesi tu

INIESTA ameshatwaa makombe mangap

Ronaldinho ameshatwaa jumla ya makombe mangap

HAPO NDIO UTAJUA INIESTA WEKA MBAL NA WATOTO

Wakiludi na majibu ntajing'ata,najua hawatoleta
 
Kama tunazungumzia mbwembwe na udambwidambwi uwanjani basi DUNIANI BADO HAJATOKEA KAMA GAUCHO.

Ila kwa Juhudi na Kucheza mpira wa Kazi, Gaucho ni wa kawaida tu.

Thanks mkuu
 
Huwezi sikia Makocha na mabeki wanaumiza kichwa namna ya kumkaba Gaucho.

Ila kuhusu Messi, anza kumuuliza Mourinho, Simeone, Pep n.k Carlo Ancelot aliwahi kusema kuwa ili kumfanya Messi asilete madhara basi unapaswa kutotaja Jina la Messi mbele ya wachezaji wako maana utawajengea hofu ndani ya mioyo yao.
 
Iniesta Is The Most Talented Midfielder Of All Time,'He's an amazing player and a wonderful person with a huge heart. gaucho ataendelea kusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…