Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

mbona wenger alimkaba 2010,akampiga 2-1 pale emirates,messi alikua anazurura tu
Hivi Mkuu ni sahihi kuangalia Mechi mbili tatu mtu ambazo hajaperform vizuri kuliko kuangalia perfomance yake ya muda mwingi?

Unazungumzaje alivyomueka chini Boateng na kwenda kumning'iniza Neur, vipi kuhusu Arsenal haohao na Wenger wao ambao Messi aliwapiga 4 pale Camp Nou?
 
Wabrazil washenzi sana! Walikuwaga wanasema Ronaldinho akiwa anaupiga duniani hata malaika kule mbinguni wanaacha kazi zao wanakaa kuangalia ufundi na maajabu ya mungu baba. Kiukweli hata Mimi nakubali Gaucho alikuwa ana mpira burudani kwa mashabiki.

Ila Iniesta ana nidhamu, ana akili, ana wepesi, ana usahihi, ana control, ana kipaji pure, anajua namna ya kuboss midfield zone yake, yuko quick and dribbling skills na accurate pass zake zinamfanya asiwe na mpinzani uwanjani.

Hata Mimi nakiri katika maisha yangu Iniesta na xavi ndio best midfielder ambao nimeeashuhudia kwa macho yangu. Ila sitaku kuamua kati ya Gaucho na Iniesta nani Boss.
Mimi naungana na wewe, kati ya viungo nilivyowahi kuvishuhudia bado sijaona kama Iniesta. Jamaa ni mwepesi mno hususani zile ktk one two kisha anachukua mpira na kukimbiza Golini.

Mzuri sana huyu jamaa, Iniesta anacheza mpira mzuri sana, mbali na uwanjani na ndani ya uwanjani Iniesta ana heshima na ni mstaarabu sana.
 
Sasa iniesta si alitakiwa awe anakua wa pili baada ya messi....au ashinde miaka ambayo messi hajachukua uchezaji bora wa dunia au nmekuelewa vibaya?
Afadhali kwa kujiona kuwa umeelewa vibaya, subiri aje akuelekeze.
 
Hivi Mkuu ni sahihi kuangalia Mechi mbili tatu mtu ambazo hajaperform vizuri kuliko kuangalia perfomance yake ya muda mwingi?

Unazungumzaje alivyomueka chini Boateng na kwenda kumning'iniza Neur, vipi kuhusu Arsenal haohao na Wenger wao ambao Messi aliwapiga 4 pale Camp Nou?
messi anapga 4 wakat huo arsenal wachezaj 7 first 11 ni majeruhi,beki silvester anacheza nae 1,2,
 
Mkuu sijui hawa wanaangalia vitu gani na kuhitimisha kwamba Iniesta ni mkali kuliko Gaucho labda hawakuwahi kumuona Gaucho akifanya uchawi wake alipokuwa mcheza. Hata Maradona alionyesha heshima yake kwa Gaucho.



St Gaucho ni Masiah wa mpira hapa Duniani,hakuna wakufanana nae. Iniesta level yake ni za wakina Pogba.
 
Gaucho is gaucho,kwa wachezaj wa kariba yake hakuna km yeye..
 
Seriously??? [emoji15] [emoji15]
Unamfananisha Gaucho na Iniesta..
Ingekuwa mambo ya Kiroho ningekwambia sawa sawa na kumfananisha Nabii Mussa na Mzee wa Upako!!

bwaha hah hah hah hah hah
 
Hauwezi mlinganisha Gaucho na Iniesta.Gaucho ni level za juu sana na anajua sana japo mapenzi yangu yapo kwa Iniesta
 
Back
Top Bottom