Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipendi dharau hvi we bwana mdogo unavuta bange za wapi?gaucho ana balon d or iniesta hana sasa unawalinganisha nn hawa watu wawil
Kama tunazungumzia mbwembwe na udambwidambwi uwanjani basi DUNIANI BADO HAJATOKEA KAMA GAUCHO.
Ila kwa Juhudi na Kucheza mpira wa Kazi, Gaucho ni wa kawaida tu.
Hapa watu watazungumzia u legend tu ila iniesta anatisha,gaucho hagusi hata nusu ya Iniesta ---na kwa sabb kuna fundi wa dunia king messi ndo maana iniesta hapati uchezaji bora, ila iniesta ni fundi.
Hata mimi ni shabiki wa Barca ila kwa sasa tuweke ushabiki maandazi pembeni na uhalisia uchukue nafasi yake.Tehtehte hata mie huwa napenda anavyojiachia
Una uhakika kuwa gaucho ana 28 yrs???
bila shaka utakuja na habari za makombe,magoli,ballon d'or ambazo zina magumashi🙁 Messi? Watoto mnasumbua mno jf... Weka rekodi za Gaucho na mimi nitaweka za mfalme..gaucho hajafikia hata theluthi yake...nasema hivi..Messi hana mpinzani na haitatokea kwa mchezaji yeyote kuvunja rekodi zake huyu kiumbe, labda baada ya miaka 200,na hapo hatutokuwepo tena duniani....
nyi watu kweli wagonjwa,iniesta ukamlinganishe na gaucho!..kwa lipi?Kuwa na kichwa chepes kuelewa.hamaanishi anamiaka 28. Mwisho wake na barce alikua ana28, wakat INIESTA ana 33 hii leo lkn bado anatesa zaidi ya dinho.upo hapo mkuu
hivi ballon d'or ya 2010 alistahik nani kati ya messi na iniesta achilia mbali yule muholanzi ambae ndo alitakiwa apeweAcha utoto wewe, mleta uzi hajakosea kitu...tatizo Umeanza kuangalia mpira 2011...hata akili zako naona zinata kufanana na JECHA...Iniesta angezipata ballon zaidi ya Gaucho kama BABA WA SOKA ASINGEWEPO HAPA DUNIANI (MESSI)...hapo ndipo uamini kuwa Messi hafananishwi na mchezaji yeyote yule unaemjua wewe, kama unakumbuka kwa mara ya kwanza mfalme anatua ndani ya BARCA or BARCELONISTAS' Gaucho wako alikua TAKATAKA,na alizidi kuleta SHOMBO zaidi, na aliona aibu mno kuona mtoto mdogo kaingia na wonders of the world,akiwadhalilisha majitu mazima pale Barca mmoja wao huyo gaucho wako...sasa hapo alijua anytime nitatimuliwa hapa Coz lishakua limzigo pale....
labda kwa uwarazaIniesta Is The Most Talented Midfielder Of All Time,'He's an amazing player and a wonderful person with a huge heart. gaucho ataendelea kusubiri.
mbona wenger alimkaba 2010,akampiga 2-1 pale emirates,messi alikua anazurura tuHuwezi sikia Makocha na mabeki wanaumiza kichwa namna ya kumkaba Gaucho.
Ila kuhusu Messi, anza kumuuliza Mourinho, Simeone, Pep n.k Carlo Ancelot aliwahi kusema kuwa ili kumfanya Messi asilete madhara basi unapaswa kutotaja Jina la Messi mbele ya wachezaji wako maana utawajengea hofu ndani ya mioyo yao.
Ni kosa kubwa kulinganisha WAAMERIKA na WAULAYA..
N:B
Ingawa namkubali cr7 na namchukia messi coz messi anatesa wenzanke.
Sasa iniesta si alitakiwa awe anakua wa pili baada ya messi....au ashinde miaka ambayo messi hajachukua uchezaji bora wa dunia au nmekuelewa vibaya?Hapa watu watazungumzia u legend tu ila iniesta anatisha,gaucho hagusi hata nusu ya Iniesta ---na kwa sabb kuna fundi wa dunia king messi ndo maana iniesta hapati uchezaji bora, ila iniesta ni fundi.
Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!Seriously??? [emoji15] [emoji15]
Unamfananisha Gaucho na Iniesta..
Ingekuwa mambo ya Kiroho ningekwambia sawa sawa na kumfananisha Nabii Mussa na Mzee wa Upako!!