Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

Kucheza kwa muda mrefu sio kigezo cha ubora wako kwamfano beckam amecheza kwa kipindi kirefu tuseme alimzidi zizu. Acheni masiara Gaucho kiumbe kingine kwenye mambo ya mpira
 
Hauwezi mlinganisha Gaucho na Iniesta.Gaucho ni level za juu sana na anajua sana japo mapenzi yangu yapo kwa Iniesta

muandishi wa hii thread sijui amekula maharage ya wapi yule?
duru za Soka zilishatanabaisha wazi kuwa kama mpira ungalikuwa na mdomo basi muda wote ungeomba upelekwe kwa Dinho Magic
 
Mkuu sijui hawa wanaangalia vitu gani na kuhitimisha kwamba Iniesta ni mkali kuliko Gaucho labda hawakuwahi kumuona Gaucho akifanya uchawi wake alipokuwa mcheza. Hata Maradona alionyesha heshima yake kwa Gaucho.

Hawa wanachuki binafsi kwa Mtume na Mtakatifu wa mwisho wa Soka hapa Duniani,kweli nimeamini Nabii hapendwi kwao,kumfananisha Gaucho na Iniesta ni sawa na kufananisha iPhone na Techno.
 
muandishi wa hii thread sijui amekula maharage ya wapi yule?
duru za Soka zilishatanabaisha wazi kuwa kama mpira ungalikuwa na mdomo basi muda wote ungeomba upelekwe kwa Dinho Magic
Hivi ulisoma mara mbili ulichokiandika?au ndio wale ilimradi umeandika tu?Na isitoshe huo ni mtazamo wangu
 
Ni mchezaji gani wa Barcelona aliyepigiwa makofi ya heshima uwanja mzima na mashabiki wa Real Madrid baadaya ya mpira kumalizika pale Santiago Bernabeu? Kwa wale wenye kumbukumbu tu...
 
It's okay to admire and appreciate greatness even if he is not part of your team.

Ni mchezaji gani wa Barcelona aliyepigiwa makofi ya heshima uwanja mzima na mashabiki wa Real Madrid baadaya ya mpira kumalizika pale Santiago Bernabeu? Kwa wale wenye kumbukumbu tu...
 
isingekuwa messi mada hii isingeandikwa hapa jukwaani.lawama zote zimuendee messi kwa kufanya iniesta aonekane ni mchezaji wa kawaida
 
Ni mchezaji gani wa Barcelona aliyepigiwa makofi ya heshima uwanja mzima na mashabiki wa Real Madrid baadaya ya mpira kumalizika pale Santiago Bernabeu? Kwa wale wenye kumbukumbu tu...
Hii heshima tangu kuumbwa dunia waliipata wachezaji wawili tu wa timu mpinzani na Real Madrid wakitokea Barcelona kupigiwa makofi pale bernabeu ni Ronaldinho pamoja na Iniesta pekee. Bernabeu nzima walisimama kwa heshima wakipiga makofi.

Iniesta alizaliwa nyakati mbaaya...ni hatari saana kuzaliwa kizazi kimoja na Ronaldinho, na Messi. Pia Messi hana adabu ndio kamfanya xavi na Iniesta waonekane wa kawaida ilhali wametukuka kwenye ngozi.
 
Andres Iniesta given standing ovation by the Real Madrid fans

Ukichecki hiyo link hapo ndo utajua ni kazi ngumu sana kumchagua mmoja wapo kiujuzi, hakuna mashabiki vichwa ngumu kumkubali mchezaji wa timu pinzani kama wa Real Madrid ila wote kwa nyakati tofauti walisimama kwa heshima kuwapigia makofi Ronaldinho na Iniesta kwa perfimance za ajabu kwenye el classico tofauti tofauti.

Mpaka Leo haijawahi kutokea tena kwa mchezaji yeyote dunia hii kula shavu bernabeu.
 
😀😀😀Hii video tumeshachoka kuitazama ,Gang kaileta humu,wewe umeileta na wengine pia,na hapo ndipo mmeshaonyesha dhahiri udhaifu wake..maana hakuna tena clip ingine ya maana,nimemcheki live, na pia mimi ni hodari sana wa kufuatilia youtube yani hana lolote zaidi ya kutisha mabeki tu, the fact is that iniesta ni habari ya mjini kijana wangu.
weka ww ya iniesta
 
Kuna wachezaji wachache walikuwa wanacheza mpira wanaenjoy na mashabiki wa timu zote wanaenjoy mmoja wapo ni Ronaldinho.Binafsi nakumbuka kuna goli aliwafunga AC Milan kwenye Champions League dakika ya 90 na kuna goli aliwafunga Chelsea
 
Belo ndugu yangu ongea tu bila mifano...wengine tukikumbuka machozi huwa yanatutoka
 
SAINT GAUCHO MAN OF THE MATCH KABLA YA MPIRA KUANZA YAANI HATA MALAIKA WALIKUWA WANAPIGA MAKOFI HATAREEEEE Wakati huo messi alikuwa anavaa jezi namba 30
 
eto'o alikua uwanjani lakin mpira ukishikwa na gaucho,meno nje anafurahia burudani

Gaucho ndie mbarikiwa pekee aliepewa tuzo ya Man of the Match ile hali akiwa tu jukwaani kavaa uchepe kichwani, kala belo la maana, middle ana bati na down ana ndop la ukweli huku anatazama soka...
 
Back
Top Bottom