Inartia
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 1,284
- 1,305
Mda mwengine hua wanakuchokoza tu ili uje lakini kiukweli iniesta hana hadhi ya kulinganishwa saintbwaha hah hah hah hah hah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mda mwengine hua wanakuchokoza tu ili uje lakini kiukweli iniesta hana hadhi ya kulinganishwa saintbwaha hah hah hah hah hah
😀😀Nyie mtaumiza kichwa bure tu...gaucho sio level ya Iniesta,Requelme na wala Zidane...tena kwa zizzou ndio kabisaaa that's the truth! ili tuamini Gaucho ni mkali kumzidi Zizzou kwanza awapiku hawa Iniesta na Requelme "hawa wawili" after that ndio mjadala uwanze kati ya Zizzou na Gaucho nani mkali kati yao,....vinginevyo tunapotezeana muda tu,wengine tunakazi za kufanya na sio kushindia jamiiforums all time....
Dinho ndo habari..unapomlinganixha na Iniesta unakosea...labda umlinganixhe na kina messi...
Mda mwengine hua wanakuchokoza tu ili uje lakini kiukweli iniesta hana hadhi ya kulinganishwa saint
Iniesta yuko level ya kina Pirlo,Xavi, Scholes, Kaka,Ozil,Bastian Gaucho yuko level ya juu zaidi ndio maana anashindanishwa na kina Zidane,Messi
Respect for you mkuu belo... iweje useme gaucho ni level ya akina messi ilhali hadhi hiyo hana? Kiukweli huyo Zizzou bado hajafikia hata nusu tu ya Messi? Alaf unamleta Gaucho tena, isitoshe level moja na Messi na hata Zizzou? Serious mkuu?
bila shaka utakuja na habari za makombe,magoli,ballon d'or ambazo zina magumashi
Topic inasema Iniesta Vs Ronaldinho,nashangaa kwanza Messi ameingiaje kwenye huu mjadala.Kama kwako Iniesta ni bora kuliko Ronaldinho ni mtazamo wako sikulazimishi
Waambie hawa Mkuu Gaucho habari nyingine kabisa na nakuunga mkono hata Messi haoni ndani kwa Gaucho.
Wanaomkubali Iniesta wajibu kwa kuleta video Kali zaidi ya hii.
Gaucho habari nyingine. Kipaji kimepitiliza vipimo vya ubora.
Acha utoto....Iniesta ana 33 bado yupo kwenye peak anaburudisha ,gaucho 28 kashajifia
Halafu mpe heshima yke don andres
Siku nyingine kabla hujamwelekeza mnase kibao kwanza.
Wanaloloma tu, walete hizo za iniesta zote kama kuna hata moja inayolingana na hiyoWanaomkubali Iniesta wajibu kwa kuleta video Kali zaidi ya hii.
Gaucho habari nyingine. Kipaji kimepitiliza vipimo vya ubora.
Gaucho siyo kwamba kapenda kucheza hizo ligi zingine ,2007 ilikuwa ni downfall ya Gaucho lkn alivumiliwa na Barca sababu ya heshima yake tu lkn Gaucho bado hakuweza kubadika ,uzito ulikuwa unazidi kumuongezeka na mpira ndio basi tena ,ndio rais wa Barca alipotangaza kuwa wameamua kuachana na Gaucho amekuwa unprofessional japo walimvumilia sanaAcha utoto....
Facts:-
1. Ronaldo de Assis Moreira maarufu kama Ronaldinho Gaucho alizaliwa tarehe 21/03/1980...Hivyo ana miaka 36 sasa..Na Andres Iniesta Lujan amezaliwa tarehe 11/05/1982 ana miaka 32.
2. Gaucho amechezea timu zifuatazo na magoli aliyofunga yapo kwenye mabano: Gremio (21), PSG (17), Barcelona (70), AC Milan (20), Flamengo (15), Atletico Mineiro (17), Queretaro (8), Fluminense (0)...Na Iniesta yeye soka la ushindani ameichezea Barcelona tu na amefunga magoli 34 tu.
3. Gaucho amecheza ligi 5 kubwa duniani katika nchi za Brazil, Ufaransa, Hispania, Italia na Mexico ilhali Iniesta amecheza ligi moja tu ya La liga.
4. Gaucho ameifungia magoli 33 katika mechi 97 alizoichezea timu ya Taifa ya Brazil ilhali Iniesta ameifungia magoli 12 katika mechi 113 alizoichezea timu ya Taifa ya Hispania.
5. Gaucho amekuwa mchezaji bora wa Dunia mara 2...Iniesta hajawahi kuwa Mchezaji bora wa Dunia.
6. Gaucho amecheza kama attacking midfielder na forward...Iniesta anacheza kama natural midfielder..
7. Gaucho ana Bronze medal ya Olympic...Iniesta hana.
8. Gaucho ameichezea Barcelona mechi 145 na kufunga magoli 70...Iniesta ameichezea Barcelona mechi 390 na kufunga magoli 34.
Mwisho: Acha kumlinganisha Gaucho na vitu vya kipumbavu.
Kucheza ligi nyingi ni downfall ya Gaucho?....Smh!..Gaucho siyo kwamba kapenda kucheza hizo ligi zingine ,2007 ilikuwa ni downfall ya Gaucho lkn alivumiliwa na Barca sababu ya heshima yake tu lkn Gaucho bado hakuweza kubadika ,uzito ulikuwa unazidi kumuongezeka na mpira ndio basi tena ,ndio rais wa Barca alipotangaza kuwa wameamua kuachana na Gaucho amekuwa unprofessional japo walimvumilia sana
Ac Milan iliyokuwa imeshaanza kujifia na kuokota makombo wakamchukua Gaucho ,pia Gaucho hakukaa Milan sana sabb ya unene wake na mpira kushuka ndipo akaenda zake Brazil,mexico kisha marekani
Iniesta ambaye hv ss ana miaka 33 bado anaupiga mpira mwingi, kazi anayoifanya vijana kama kroos,modric wanaisoma namba hebu tizama kwa umri wake anavyocontrol kiungo,anavyopoteza wapinzani iniesta yupo ligi moja ulitaka aende wapi wkt yupo kwenye timu bora ,iniesta atasepa pindi mpira ukimwisha
Kuhusu Ballon dor huyo Gaucho ktk kipindi hichi cha messi na ronaldo asingeambulia hata ballon dor 1 ,hv ss priority ya ballon dor ni washambuliaji na siyo viungo ,messi na cr7 wanafunga 50+ kwa msimu jambo ambalo hata gaucho hawezi na competition na hawa watu asingeweza.Akina capello ,del bosque wameshasema dhambi kubwa ktk soka ni iniesta kustaafu bila ya ballon dor
Ballon dor ni kwaajl ya washambuliaji tu tofautisha na miaka ya nyuma ,2010 ilibidi achukue yy,
Halafu ballon dor cyo kipimo ndio maana FIFA wamejitoa hv ss ktk tuzo hzo
Iniesta ana kipara saizi lkn ladha yke bado tunaiona
Msidanganyike na mikanzu ya gaucho
Kaka Naomba Uitikie Salamu yangu hii, Shkamoo!Gaucho siyo kwamba kapenda kucheza hizo ligi zingine ,2007 ilikuwa ni downfall ya Gaucho lkn alivumiliwa na Barca sababu ya heshima yake tu lkn Gaucho bado hakuweza kubadika ,uzito ulikuwa unazidi kumuongezeka na mpira ndio basi tena ,ndio rais wa Barca alipotangaza kuwa wameamua kuachana na Gaucho amekuwa unprofessional japo walimvumilia sana
Ac Milan iliyokuwa imeshaanza kujifia na kuokota makombo wakamchukua Gaucho ,pia Gaucho hakukaa Milan sana sabb ya unene wake na mpira kushuka ndipo akaenda zake Brazil,mexico kisha marekani
Iniesta ambaye hv ss ana miaka 33 bado anaupiga mpira mwingi, kazi anayoifanya vijana kama kroos,modric wanaisoma namba hebu tizama kwa umri wake anavyocontrol kiungo,anavyopoteza wapinzani iniesta yupo ligi moja ulitaka aende wapi wkt yupo kwenye timu bora ,iniesta atasepa pindi mpira ukimwisha
Kuhusu Ballon dor huyo Gaucho ktk kipindi hichi cha messi na ronaldo asingeambulia hata ballon dor 1 ,hv ss priority ya ballon dor ni washambuliaji na siyo viungo ,messi na cr7 wanafunga 50+ kwa msimu jambo ambalo hata gaucho hawezi na competition na hawa watu asingeweza.Akina capello ,del bosque wameshasema dhambi kubwa ktk soka ni iniesta kustaafu bila ya ballon dor
Ballon dor ni kwaajl ya washambuliaji tu tofautisha na miaka ya nyuma ,2010 ilibidi achukue yy,
Halafu ballon dor cyo kipimo ndio maana FIFA wamejitoa hv ss ktk tuzo hzo
Iniesta ana kipara saizi lkn ladha yke bado tunaiona
Msidanganyike na mikanzu ya gaucho
Gaucho siyo kwamba kapenda kucheza hizo ligi zingine ,2007 ilikuwa ni downfall ya Gaucho lkn alivumiliwa na Barca sababu ya heshima yake tu lkn Gaucho bado hakuweza kubadika ,uzito ulikuwa unazidi kumuongezeka na mpira ndio basi tena ,ndio rais wa Barca alipotangaza kuwa wameamua kuachana na Gaucho amekuwa unprofessional japo walimvumilia sana