Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

Iniesta yuko level ya Xavi, Pirlo, Bastian, Gerrard, Scholes,Kaka.Gaucho alikuwa level ya juu zaidi
Level zingine gani

Iniesta ttzo lenu munamuangalie kwenye el classico na uefa tu ,huyu MTU hsfai genius ,..

Iniesta, zizzou,laudrup hzi ndio level zake
 
Gaucho hakuletwa na rijkaard ,laporta na rosell ndio waliomleta ,walikuwa kwenye kipindi cha uchaguzi na kwenye Sera zake aliahidi atamleta gaucho wkt huo katoka kungaa world cup mpk wakaenda kumshawishi asiende man u ni kama vile issue ya Perez na James ,ancelotti hakumleta Bali Perez upenzi wake alimleta,gaucho kasepa sabb ya kiwango na ubonge

Punguza ubishi usio na maana kumbuka kocha ndio anapendekeza wachezaji anaowataka hata Pep hakuwataka Deco,Toure ndio maana waliuzwa.Kwenye uchaguzi Laporta aliahidi kumleta Beckham sio Ronaldinho
 
Kwanza tambua kwenye 4-3-3 Gaucho amekuwa akicheza mshambuliaji wa kushoto nafasi ya anayocheza neymar saizi kwahy muda wote yupo free lkn Andres iniesta yupo central iniesta,busi,raki kwahy majukumu yke yofautisha na ya gaucho ,anachezesha timu ,miliki dimba nk

Halafu kama hujui miaka yote mido za Barca hawana idadi nzr ya magoli mfno deco miaka yote aliyokaa Barca kafunga magoli 13,xavi pia hana idadi nzr ya magoli na iniesta pia

Siyo hvyo tu nenda Madrid modric sidhani kama hata magoli 10 kafikisha kroos mechi 74 ana magoli 4 wkt alivyokuwa Bayern alikuwa anafunga 15 kwa msimu

Turudi kwenye point hawa central mids wa Barca na real unavyowaona wana kazi kubwa kuchezesha timu na kuifanya timu itawale mchezo kwa asilimia kubwa ndio maana unaona msn,BBC wanafunga sana wapo free...iniesta ahukumiwi kwa magoli kwa role yke

Gaucho hakuwa central mid Bali mshambuliaji so kwa magoli anamzidi iniesta

Kuhusu makombe iniesta ana makombe mengiiii sana ,na iniesta acheze timu nyingi ili iweje wkt yupo kwenye klabu bora kabisa

Mfano cr7 aliondoka man u na kwenda real ,timu bora kabisa na real kamwe huwezi kumtoa kivyovyote mpk atakapoisha kisoka,unapokuwa sehemu bora Barca, Madrid eti uondoke??aende wapi .

Wachezaji wote malengo yao wacheze Barca,real halafu Leo hii eti mchezaji aondoke hv vilabu na kwenda kwingineko kwa unavyodhani Bale angekuwa toka mwanzo Madrid angetaka ahame aende spurs au cr7 angeanzia Madrid unagikiri angewaza kwenda man u?

Andres ni play maker na play makers miaka yote hawana stats nzr za magoli mtizame pirlo,modric,xavi,na kroos wa sasa
Gaucho amecheza both..As a play maker (central midfielder) na attacking midfielder..Na kuna wakati alicheza kama forward..

Kipimo mojawapo cha playmaker ni pamoja na assist anazotengeneza...Kama umemfuatilia Gaucho tangu akiwa Gremio..PSG na baadae Barca utajua namaanisha nini..Kocha aliyewahi kumpatia Gaucho ni mmoja tu...Frank Rijkaard...Huyu ndiye alikuwa anajua namna ya kumtumia Gaucho..Gaucho pamoja na kwamba ni attacking midfielder wa asili bado alikuwa anaweka kuchezesha dimba la kati...Gaucho alikuwa ni kiungo kati ya washambuliaji na central midfielders..Akiwa Barca Rijkaard alikuwa akitumia zaidi mfumo wa 4 3 3...Gaucho alikuwa anacheza kiungo mbele ya Deco na Mark Van Bommel..Gaucho ndo alikuwa anamlisha Eto'o na mwenzake Giully..

Kitakwimu Iniesta amecheza zaidi ya mara mbili ya mechi alizocheza Gaucho...Lakini Gaucho ametoa assist nyingi kuliko Iniesta...

Leo kuna watu wengine wanasema Xavi Hernandez ni bora kuliko Andres Iniesta...Na wakati Gaucho anachezea Barca Iniesta alikuwa hafurukuti...Rijkaard alikuwa anawatumia zaidi Deco, Van Bommel na Gaucho..

Iniesta na Xavi wameanza kutamba baada ya Guardiola kuingia Barca msimu wa mwaka 2008/2009...Guardiola ni muumini wa La Masia...Anapenda kuwatumia wachezaji aliowazalisha yeye..Ndio maana wakati wake majina kama Xavi..Iniesta..Busquets..Pique..Pedro Rodriguez na wengine yaliibuka...

Btw..Kwangu mimi Xavi Hernandes ni bora kuliko Andres Iniesta....Xavi anaweza kumtikisa Gaucho...Sio Iniesta.
 
Level zingine gani

Iniesta ttzo lenu munamuangalie kwenye el classico na uefa tu ,huyu MTU hsfai genius ,..

Iniesta, zizzou,laudrup hzi ndio level zake

Iniesta ni mchezaji mzuri lakini huwezi mlinganisha na Gaucho wala Zidane.Naona hauko serious yani Laudrup unamfananisha na Zizou na Gaucho?
 
Punguza ubishi usio na maana kumbuka kocha ndio anapendekeza wachezaji anaowataka hata Pep hakuwataka Deco,Toure ndio maana waliuzwa.Kwenye uchaguzi Laporta aliahidi kumleta Beckham sio Ronaldinho
Nimegundua kitu kimoja...Ama tunabishana na under ages...Ama watu wasiojua mpira...

Fikiria mtu anakwambia Gaucho hakuletwa na Rijkaard...Kwamba aliletwa na Rais wa timu...

Kwa hiyo hata Zidane, Beckham, Figo na galacticos wengine walipelekwa Madrid na Perez?..Hajui kama hawa wachezaji wanaletwa kulingana na matakwa ya makocha wa timu...
 
Iniesta ni mchezaji mzuri lakini huwezi mlinganisha na Gaucho wala Zidane.Naona hauko serious yani Laudrup unamfananisha na Zizou na Gaucho?

Haya ni matusi..Laudrup na Zidane????...

Aisee..Na Xavi atamuweka kwenye level gani?..Juan Roman Riquelme je?...
 
Nimegundua kitu kimoja...Ama tunabishana na under ages...Ama watu wasiojua mpira...

Fikiria mtu anakwambia Gaucho hakuletwa na Rijkaard...Kwamba aliletwa na Rais wa timu...

Kwa hiyo hata Zidane, Beckham, Figo na galacticos wengine walipelekwa Madrid na Perez?..Hajui kama hawa wachezaji wanaletwa kulingana na matakwa ya makocha wa timu...
Beckham alipelekwa kwa matakwa ya kocha?Perez c alimuondoa makelele na kumleta Beckham

Kama hujui namna Madrid inavyoendeshwa inabidi uulize,issue ya galacticos ilianza vp kama siyo Perez ,halafu kingine mfno pogba wagombea urais 3wa Barca waliingia naye mkataba lkn mwishoni Enrique alimkataa ,riquelme aliletwa na rais lkn van gaal hakumtaka na akamtoa kwa mkopo na mwisho akaenda Villarreal ,gaucho aliletwa na laporta
 
Gaucho hakuletwa na rijkaard ,laporta na rosell ndio waliomleta ,walikuwa kwenye kipindi cha uchaguzi na kwenye Sera zake aliahidi atamleta gaucho wkt huo katoka kungaa world cup mpk wakaenda kumshawishi asiende man u ni kama vile issue ya Perez na James ,ancelotti hakumleta Bali Perez upenzi wake alimleta,gaucho kasepa sabb ya kiwango na ubonge
Hivi unajua ni kwa nini Deco na Yaya Toure waliondoka Barca?...

Unajua ni kwa nini Pedro Rodriguez..Sergio Busquets..Andres Iniesta walianza kung'ara kipindi cha Pep?...

Unajua ni kwa nini Gerald Pique alirudishwa Barca mwaka 2008 toka Man Utd?
 
Beckham alipelekwa kwa matakwa ya kocha?Perez c alimuondoa makelele na kumleta Beckham

Kama hujui namna Madrid inavyoendeshwa inabidi uulize,issue ya galacticos ilianza vp kama siyo Perez ,halafu kingine mfno pogba wagombea urais 3wa Barca waliingia naye mkataba lkn mwishoni Enrique alimkataa ,riquelme aliletwa na rais lkn van gaal hakumtaka na akamtoa kwa mkopo na mwisho akaenda Villarreal ,gaucho aliletwa na laporta
Ongea kama unajua mpira...Pereza hawezi kumuondoa Makelele..Makelele aliondoka kwa sababu kocha alikuwa hamuhitaji...

Perez alichofanya ni kuanzisha sera ya Galacticos...Aliwapa uhuru makocha kuchagua wachezaji wanaowataka then yeye anatoa hela..Hata Laporta alikuwa anafanya hivo..Wachezaji wanasajiliwa kulingana na matakwa/mahitaji ya kocha...

Hii pia ilikuwa ni strategy ya Perez kushinda uchaguzi..Strategy ambayo hata Laporta na Rossel waliiga...Lakini alivoingia Pep pale Barca aliamua kutumia La Masia zaidi..
 
Naona unazidi kuhama kabisa hapa Tunazungumzia Real Madrid na Beckham au Barca na Ronaldinho ?
Naona tena unakubali kuwa kocha ndio anapendekeza wachezaji anaowataka
 
Mkuu siyo kweli ,makelele anasema Perez hakunihitaji sabb nilikuwa siuzi jezi na nilikuwa si saidii ktk mauzo ya jezi

Zizzou alilalamika sana kuuzwa kwa makelele na msimu huo ndio del bosque alifukuzwa pia ,kila MTU anatambua kuwa Perez ndio alimtimua makelele ,na makelele kwa kinwa chske alisema Perez kanitimua sabb sikuwa na mvuto

James Rodriguez hakuhitajiwa na Carlo ila Perez na Sera yke ndiye alimleta pale
 
Swali jepesi tu

INIESTA ameshatwaa makombe mangap

Ronaldinho ameshatwaa jumla ya makombe mangap

HAPO NDIO UTAJUA INIESTA WEKA MBAL NA WATOTO
Amechukua tuzo zipi binafsi ambazo gaucho hana?
 
Hivi unajua ni kwa nini Deco na Yaya Toure waliondoka Barca?...

Unajua ni kwa nini Pedro Rodriguez..Sergio Busquets..Andres Iniesta walianza kung'ara kipindi cha Pep?...

Unajua ni kwa nini Gerald Pique alirudishwa Barca mwaka 2008 toka Man Utd?
Sababu ya Sera ya pep ,kutumia vijana wa LA masia na wengi alikuwa nao pamoja sana
 
Naona unazidi kuhama kabisa hapa Tunazungumzia Real Madrid na Beckham au Barca na Ronaldinho ?
Naona tena unakubali kuwa kocha ndio anapendekeza wachezaji anaowataka
Nilitaka niwaeleweshe nyie mnaopinga kuwa rais hawezi kumleta mchezaji
 
Naona unazidi kuhama kabisa hapa Tunazungumzia Real Madrid na Beckham au Barca na Ronaldinho ?
Naona tena unakubali kuwa kocha ndio anapendekeza wachezaji anaowataka
Kocha anapendekeza wachezaji hilo lipo ila suala la gaucho,riquelme ni rais aliyeleta na cyo kocha alipendekeza
 
Unaishi dunia gani,kocha anaweza asitaje majina ya wachezaji exactly anaowataka ila anasema nataka mshambuliaji no 9 au nataka beki wa kushoto then klabu ndio inaangalia wachezaji walio sokoni. Wachezaji wote wananunuliwa baada ya kiongozi wa timu ku-approve kwa Spain ni ma-raisi while ligi nyingine ni CEO au DoF .Narudia tena kwenye kampeni Laporta aliahidi kumnunua Beckham na sio Ronaldinho
 
Back
Top Bottom