Gaucho amefunga magoli mangapi akiwa Barca na ametoa assists ngapi?..
Iniesta amefunga magoli mangapi akiwa Barca na ametoa assists ngapi?...
FYI...Huyo unayesema anawahadaa watu kwa kanzu anamzidi Iniesta kwa idadi ya magoli na assists...
Na hata huko Milan unakosema alikuta ineanza kuchoka...Mwaka 2010 aliisaidia Milan kushinda ubingwa wa Serie A.
Mtu amechukua vikombe katika ligi 4 tofauti unamlinganisha na mtu aliyecheza ligi 1 maisha yake yote...Angalia Maradona...Pele...Zidane..Raul..Figo..Beckham..Weah..The Phenomenon Ronaldo..Cristiano Ronaldo..Thiery Henry..Eto'o...Fabio Cannavaro m.k...Hawa wamecheza ligi tofauti na wamedhihirisha ubora wao sehemu zote walizocheza..
Kwanza tambua kwenye 4-3-3 Gaucho amekuwa akicheza mshambuliaji wa kushoto nafasi ya anayocheza neymar saizi kwahy muda wote yupo free lkn Andres iniesta yupo central iniesta,busi,raki kwahy majukumu yke yofautisha na ya gaucho ,anachezesha timu ,miliki dimba nk
Halafu kama hujui miaka yote mido za Barca hawana idadi nzr ya magoli mfno deco miaka yote aliyokaa Barca kafunga magoli 13,xavi pia hana idadi nzr ya magoli na iniesta pia
Siyo hvyo tu nenda Madrid modric sidhani kama hata magoli 10 kafikisha kroos mechi 74 ana magoli 4 wkt alivyokuwa Bayern alikuwa anafunga 15 kwa msimu
Turudi kwenye point hawa central mids wa Barca na real unavyowaona wana kazi kubwa kuchezesha timu na kuifanya timu itawale mchezo kwa asilimia kubwa ndio maana unaona msn,BBC wanafunga sana wapo free...iniesta ahukumiwi kwa magoli kwa role yke
Gaucho hakuwa central mid Bali mshambuliaji so kwa magoli anamzidi iniesta
Kuhusu makombe iniesta ana makombe mengiiii sana ,na iniesta acheze timu nyingi ili iweje wkt yupo kwenye klabu bora kabisa
Mfano cr7 aliondoka man u na kwenda real ,timu bora kabisa na real kamwe huwezi kumtoa kivyovyote mpk atakapoisha kisoka,unapokuwa sehemu bora Barca, Madrid eti uondoke??aende wapi .
Wachezaji wote malengo yao wacheze Barca,real halafu Leo hii eti mchezaji aondoke hv vilabu na kwenda kwingineko kwa unavyodhani Bale angekuwa toka mwanzo Madrid angetaka ahame aende spurs au cr7 angeanzia Madrid unagikiri angewaza kwenda man u?
Andres ni play maker na play makers miaka yote hawana stats nzr za magoli mtizame pirlo,modric,xavi,na kroos wa sasa