Injinia Hersi: Rais Samia atoa ndege kuipeleka Yanga Mbeya

Huna akili
Kabisa kabisa.
Lakini asie na akili ametoa ushauri bora kabisa utakaowaepusha na misononeko na kuhatarisha afya ya moyo na akili. Mtoa ushauri hapendi kabisa mkose alichokikosa yeye.
 
wasiseme ametoa ndege, watuambie kama ametoa pesa za kulipia ndege ya biashara hiyo. au wana maana gani? hiyo ndege sio ya mtu binafsi, ni ya watanzania na ni ndege ya biashara.kodi zetu.
 
wasiseme ametoa ndege, watuambie kama ametoa pesa za kulipia ndege ya biashara hiyo. au wana maana gani? hiyo ndege sio ya mtu binafsi, ni ya watanzania na ni ndege ya biashara.kodi zetu.
Hukumsikia aliposema amepelekewa invoice?
 
Makolodundukaz yamenuna utatafikiri Yanga ndio iliyowafanyia scouting ya akina SAWAKUBWA na kuishia robo.
 
Sasa huu ni ujinga

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
FREE FEITOTO FREE FEITOTO FREE FEITOTO FREE FEITOTO FREE FEITOTO FREE FEITOTO FREE FEITOTO FREE FEITOTO FREE FEITOTO FREE FEITOTO FREE FEITOTO FREE FEITOTO FREE FEITOTO FREE FEITOTO FREE FEITOTO
 
Hapa sasa ndipo utaona Watanzania walivyo wapumbavu. Watasahau shida zao zote wasifie kisa wao ni mashabiki wa Yanga.

Hata hivyo unategemea nini kwenye taifa ambalo likiamka asubuhi vipindi vya redio vinatangaza habari za michezo na umbea.
Ni upumbafu kwa kweli
 
Mm Ni mwananchi ila it's too much anachofanya rais haikubaliki cjaona umuhimu wowote kuangaika na yangqc kwa kuforce vitu vya namna ile

SAS nimeamini 2025 ccm itapasuka
 
Anamuokoa mwanae FEI..Akili kubwa hii
 
Kawafurahishaaa kupitiaa fei, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado anagongelea Makolo kwenye mshono 😂
 

Attachments

  • Screenshot_20230606-223621.jpg
    73.5 KB · Views: 1
Vipigo vinaendelea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mm Ni mwananchi ila it's too much anachofanya rais haikubaliki cjaona umuhimu wowote kuangaika na yangqc kwa kuforce vitu vya namna ile

SAS nimeamini 2025 ccm itapasuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…