Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Muda huu Rais wa Yanga amethibitisha Rais Samia ametoa ndege ya kuipeleka Mbeya Timu ya Yanga kumalizia michezo yake ya Ligi Kuu Bara
Nadhan Yanga ina vinasaba na serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
---
Rais Samia Suluhu ametoa ndege maalum kuipeleka Yanga SC jijini Mbeya kwa ajili ya mchezo dhidi ya Mbeya City, Juni 6 mwaka huu.
Yanga itaelekea Mbeya baada ya kupata chakula cha jioni na Rais Samia Ikulu jijini Dar es Salaam leo kama pongezi kwa juhudi walizozionesha katika mashindano ya Kombe la Shirikisho la Afrika.
Pia soma: Rais Samia Suluhu Aahidi Kutoa Ndege Kwa Yanga Mchezo wa Fainali Pamoja na Milioni 20 Kila Goli