Injinia Hersi: Rais Samia atoa ndege kuipeleka Yanga Mbeya

timu ya ccm, subirini hii ni dalili ya kufa kwa yanga
Haiwez kufa kwenye nchi ya wajinga wanao shabikia Simba na yanga upumbavu mtupu

Kila mahali ukipita wanajadili Simba na yanga hadi baadhi ya viongozi wa dini

Kwa hiyo huu ujinga hauwez kufa kirahisi

Usipo shabikia moja wapo wa hizo timu unaomekana mshamba pumbavu zao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
ila afadhali hawajapata kikombe wangepelekwa dubai kwa ndege ya mizigo
 
Cha msingi

USM ALGER #wametuheshimisha
IMG-20230604-WA0106.jpg
 
Hapa sasa ndipo utaona Watanzania walivyo wapumbavu. Watasahau shida zao zote wasifie kisa wao ni mashabiki wa Yanga.

Hata hivyo unategemea nini kwenye taifa ambalo likiamka asubuhi vipindi vya redio vinatangaza habari za michezo na umbea.
 
Back
Top Bottom