Mchezaji ameamua kutorudi kwenye timu, huo mshahara wanamlipa wa kazi gani kama sio kumbembeleza psychollogically arudi kwasababu wanajua walibebwa na TFF?
Kwani hawa utopolo hawana adhabu za kumchukulia mchezaji wao anayekwenda kinyume cha mkataba? mbona Morrison wanamuadhibu kwa kumuweka nje? kwanini kwa Fei wanashindwa kumuadhibu, tena ajabu ndio wanamlipa kabisa mshahara!.
Kumbe Fei ni mkubwa zaidi ya taasisi ya utopolo[emoji1787][emoji1787]
Eti kisa ni "kijana wao" upuuzi mtupu, na kuna mazuzu huko utopoloni wanaamini hizi kauli nyepesi! mna upeo mdogo sana.
Hii ni sababu nyingine inayoonesha utopolo hawana haki kwenye hii issue ya Fei, wanajua walibebwa na TFF ndio maana bado wanahangaika kumpigia simu za kumtongoza kwa kushirikiana na kocha wao Nabi.