Injinia Hersi Said: Bado tunamsubiri Fei Toto, tunaendelea kumlipa mshahara

Hersi Ambaye Ni Engineer...Lkn Kuna Watu Wanamuamini Mangungu Ambaye Hata Kuongea Kigeni Tu Mtihani[emoji3][emoji3]
 
Hahitajiki Yanga, analipwa ili mkataba usikiukwe, timu iko imara Mazembe anakufa 3 bila yeye
 
Mshahara analipwaje wakati mchezaji alifunga account yake

Au ndio mambo ya bahasha?
Atalipwa kupitia account yake aliyotoa kwa mwajiri wake... Ziwe zimefika au hazijafika atajua mwenyewe. Utaratibu upo hivyo.
 
Tufanye Fei Kaondoka Yanga Na Kahamia Kabisa Simba...Vp Itasaidia Kupunguza Maumivu Uliyonayo??
Ukiona mtu anakimbia hoja nilizoandika badala yake anajiongelea maneno yasiyokuwepo kama chizi au mpiga ramli[emoji1787][emoji1787], ujue huyo nimeshamuweka mfukoni[emoji1322][emoji1322].

Nyie kwangu ni weupe saaaana..!!
 
Ukiona mtu anakimbia hoja nilizoandika badala yake anajiongelea maneno yasiyokuwepo kama chizi au mpiga ramli[emoji1787][emoji1787], ujue huyo nimeshamuweka mfukoni[emoji1322][emoji1322].

Nyie ni weupe saaaana..!!
Tatizo Hamueleweki Mnataka Nini?? Yanga Ifungwe Au Fei Aondoke Yanga...NI LIPI LITAWAPA FURAHA??
 
Hahitajiki Yanga, analipwa ili mkataba usikiukwe, timu iko imara Mazembe anakufa 3 bila yeye
Fei kakiuka mkataba na kambini hayupo, kwanini haadhibiwi? Asiporudi atalipwa mpaka mkataba uishe?
 
Hahitajiki Yanga, analipwa ili mkataba usikiukwe, timu iko imara Mazembe anakufa 3 bila yeye
Wewe unasema hahitajiki, lakini rais wako Hersi hapa ananukuliwa akisema "sisi Fei ni kijana wetu, kuna watu wanaongeza chumvi, ni mchezaji wetu na ataendelea kuwa kwetu hadi Mwaka 2024."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…