Injinia Hersi Said: Bado tunamsubiri Fei Toto, tunaendelea kumlipa mshahara

Wewe unasema hahitajiki, lakini rais wako Hersi hapa ananukuliwa akisema "sisi Fei ni kijana wetu, kuna watu wanaongeza chumvi, ni mchezaji wetu na ataendelea kuwa kwetu hadi Mwaka 2024."
Rais kaongea hivyo kimkataba. Mnachoshindwa kuelewa ni nini?
 
Wanamlipa mshahara kama sehemu ya kutekeleza yaliyomo kwenye mkataba wao. Wakisitisha kumlipa maanaake wamevunja makubaliano ya mkataba na wao pia. Kinachofanyika ni kutengeneza mazingira ambayo yatakuwa ni wazi kuwa ni upande mmoja ndio uliovunja mkataba na kinachofanyika kwa Yanga kukusanya uthibitisho wa wao kuutekeleza mkataba. Umesikia wewe zero point?
 
Ilikua zandaani wasafi FM na hakuna kiongozi yeyote aliyepigiwa simu kuthibitisha ili
Nilisikia wapo Fm kuna kiongozi wa Yanga alikuwa anahojiwa kwa njia ya simu alidai kuwa mchezaji mwenyewe ndiye aliyefunga account
 
Nilisikia wapo Fm kuna kiongozi wa Yanga alikuwa anahojiwa kwa njia ya simu alidai kuwa mchezaji mwenyewe ndiye aliyefunga account
Wapo FM na mpira wapi na wapi!!?..wakapunge mashetani huko
 
Kwa ambavyo huna akili ulitegemea Hersi aongee kila kitu hapo! kaa na u mbumbumbu wako
 
Mchezaji anaripoti kambini ndipo anachukuliwa hatua kwa sasa bado feisal hajarudi kambini. Take it easy mzee akifika kambini atapewa adhabu kwa mujibu wa kanuni za taasisi. Bangala, aziz ki, morisson walichelewa kuripoti yanga haikuwafata uko walipo iliwasubiri tu waliporudi wakachuliwa hatua kwa kupigwa faini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…