Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Waziri Masauni yupo yupo tu.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa.
Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu.
Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu.
Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku.
Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo.
Wizara mama kimya!
Waziri Masauni kimyaa!
Sasa mama kaongea!