binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Weledi wa kitanzania: Accountability=kuhamishwa wizara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mtu na dada yake!Msauni anakosa Gani wakati mtekaji ni mama wa machawa.
Nafikiri kama angekaa nje kabisa angekuwa katika mazingira mazuri ya kusema anachokijua kuhusu utekaji na watekajiWaziri Masauni yupo yupo tu.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa.
Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu.
Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu.
Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku.
Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo.
Wizara mama kimya!
Waziri Masauni kimyaa!
Sasa mama kaongea!
Upatiwe wizara husika tuupime ufanisi baadae?hakuna haja ya kukimbia tatizo, hata kama mtu mwenye tamaa binafsi kabambwa akimendea mke wa mtu kwa siri, na akaambulia ngeu au mauti, hakuna haja ya kukimbia changamoto hiyo licha ya kwamba inahusishwa na utekaji,
able and bold leader, unashughulika na tatizo fearlessly na mambo yanasonga bila mbambamba 🐒
Mungu Mwema gentleman,Upatiwe wizara husika tuupime ufanisi baadae?
Naona rais ajaye after Mwinyi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko anaenda kujifunza muungano akija kuibuka ni mgombea uraisi upande wa Zenji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora hiyo wizara ya Muungano, awe buzzy na wazenji wenzie.kuna aliyejisemea kuwa angepelekwa kulinda mikoko fukweni maana hata huko kwenye mazingira anaenda kuachia mashavu tu
Mkuu Jidu La MabambasiWaziri Masauni yupo yupo tu.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa.
Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu.
Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu.
Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku.
Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo.
Wizara mama kimya!
Waziri Masauni kimyaa!
Sasa mama kaongea!
Acha kuchekesha. Wakati chura kiziwi anadai ni "viji_drama" , yeye Masauni afanyaje Tena hapo zaidi ya kunywa mvinyo!?Waziri Masauni yupo yupo tu.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa.
Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu.
Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu.
Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku.
Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo.
Wizara mama kimya!
Waziri Masauni kimyaa!
Sasa mama kaongea!
Mkuu Jidu La Mabambasi
Ushauri na angalizo
Hapo bado hakuna chochote kilichofanywa kwa kuwaacha wafuatao
1. Wizara fedha-alitoka hadharani na kuapa waliowashambulia watu waliojiita TRA kwamba watalipa
2. ZPC Dar -huyu siku zote kila akiongea kuhusu masuala ya uhalifu anatisha raia
2. ZCO Dar-huyu yuko kimya hajawahi kutoka hadharani kukanusha tyuhuma zinazomhusisha
3. RC Dar-huyu anaubabe dhdi ya raia wanaomlipa mshahara. Kathibitisha kwamba yeye ndio huwa mtendaji wa matukio karibu yote ya utekaji maana kakikiri hadharani msibani kwamba alishapewa 'advanced security instruments' to clean the arrogance among the citizens within his area of administration giving example at Simu2000, Kunduchi mwaloni and this time around the machinery shall clean up at Tegeta!!!!!!!
Link:
View: https://www.youtube.com/watch?v=zRfwpLTSgqg
Link: RC Chalamila: Alipouawa Afisa wa TRA patasafishwa
4. RC Mbeya utesaji wapinzani
5. RC Mwanza kutumia mabavu kutetea uhalifu na kuingilia masuala ya michezo kinyume na sheria.
Vichekesho
Prof Palamagamba Kabudi kupelekwa wizara ya michezo....ni dharau ni bora angemweka pembeni ikajulikana moja.
Huko ujenzi vituko vya Pwani vimepelekwa yule jamaa ana dharau sana hasa kwa hayati JPM
Angalizo: waziri aliyepelekwa mambo ya ndani amechomekwa kwenye bomu kubwa linatokota pendekeza IGP, DCI waliopo waondoshwe vinginevyo zoezi la utekaji litakubuhu utashangaa. Pili msitumie nguvu kuwakabili wananchi wa Tegeta ila serikali mnatakiwa kujitafakari maonyo mengi mlishapewa lakini mnadharau wananchi kutokana na madhira wanayopitia. Fikiria mzee Ali Kibao katekwa mchana kweupe Tegeta Kibo kisha usiku wake kauwawa na kutupwa pembeni ya barabara ya Kunduchi-Ununio hawakumtupa kwenye vicka vya miti ya mikoko kama inavoaminishwa. Alitupwa kando ya barabara nje ya ukuta wa eneo la kiwanja ambacho hakina nyumba ya kudumu ya makazi karibu na bustani ya nyanya.
'Point of No Return'
Upendeleo (Double Standards)
1. Mfanyakazi anayedaiwa ni wa TRA kuchangiwa na kununuliwa hisa benk kuu ili kutunza familia na kusomesha watoto kwa kipindi kisichopungua miaka 25!!!!
'
2. Ally Kibao rambi rambi ya shilingi 5,000,000/= basi
sasa mbona sio mkali kwenye wizara nyeti anazopewa?
Wapendwa nini kimetokea kati ya polisi na magereza??Waziri Masauni yupo yupo tu.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa.
Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu.
Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu.
Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku.
Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo.
Wizara mama kimya!
Waziri Masauni kimyaa!
Sasa mama kaongea!
Huko Iringa jeshi la polisi na jeshi la magereza wsmekwaruzana hadharani baada ya polisi kulikamata gari la magereza kwa makosa ya barabarani.Wapendwa nini kimetokea kati ya polisi na magereza??
Hatuwezi kuvumilia Ujinga huu, huwezi kuwapumbaza watu wote muda wote, yaani watu wote tufikiri wanavyotaka wao?Yawezekana! Ila raia wamechoka kabisa kabisa kabisa. Haiwezekani hili swala TULIVUMILIE!
Kuwatumikia au kuwateka?!Gentleman,
Mabadiliko serikalini, hufanyika kwa madhumuni ya kuboresha utendaji kazi kwenye idara au sekta fulani serikalini na kuchochea ufanisi katika kuwatumikia wananchi na si vinginevyo 🐒
Kutegemea matokeo kwa jambo unalolijua yaani kufanya jambo lile lile kwa namna ile ile halafu ukitegemea matokeo chanya, huu unaitwa ujingaMkuu.Mlitaka aangaike na anajua watekaji ni mpango wao wenyewe. Yeye kachagua njia isiyo na unafiki. Wewe unamtuma mtu amchape mtoto fimbo alafu utoke umkemee yule uliyemtuma amchape mtoto ?. Nafsi inamsuta akachagua kutokuwa mnafiki kakausha tu